Mzigo huo👆Nami najua mtawezana[emoji23][emoji23]
Wakati tunasubiria Vocha hebu Selfika kidogo basi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Soda na Divai mama mtumishi
Wewe unaupenda??Wee usinidanganye mtakatifu
MmhNi dogo huyo babe
Kweli eti
Mie wameishanijua, mkuu.. nikifikaga kwanza wananiwekea mambo yangu 😂😂😂Bambalanga ukiwa mfupi wanakutoa apo jau
Unaonaje kabla mwaka haujaisha mama mtumishi akajaribu pombe kidogo?Soda na Divai mama mtumishi
Umeisahau na ndc kwa dar [emoji16][emoji16]asee.. bata langu huwa nakula bambalaga nikiwa dodoma, nikiwa dar es salaam ni samaki samaki na nikiwa mwanza huwa Diamond, The Cask au malaika.. christmass sijui nitakuwa mkoa gani kati ya hiyo tajwa
Mama mchungaji natupia vyombo balaaa nitakuletea hapa ushahidi
Au wewe sio mfupiMie wameishanijua, mkuu.. nikifikaga kwanza wananiwekea mambo yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Babe nirushie full basi[emoji4]
Naupenda kiaina ni vile najitahidi kutouzoeaWewe unaupenda??
Mimi huwa nakunywa mara moja moja sana.
Nimekumiss dada mkubwa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
ile nikiwa mitaa ya huko 😂😂😂Umeisahau na ndc kwa dar [emoji16][emoji16]
Hehee takiBabe nirushie full basi[emoji4]
mie mtoto kabisa kwanza richa ya ufupi, walishawai nizui nilitamani kulia 😂😂Au wewe sio mfupi
Mhhh babeHehee taki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama mchungaji natupia vyombo balaaa nitakuletea hapa ushahidi