Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,323
Acha tu...Vijana wanatuwahi vibaya...Sisi maslo lena !Dada[emoji23]
Tufanye mkakati gani Dada nasi tuambulie hata moja jamani?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu...Vijana wanatuwahi vibaya...Sisi maslo lena !Dada[emoji23]
Ahsante sana utakua umenisaidia sanaa!Ngoja nikutumie bobo
EverglowTunao ona wivu wapi tunacomment??
Tuoneane huruma jamani.Acha tu...Vijana wanatuwahi vibaya...
Tufanye mkakati gani Dada nasi tuambulie hata moja jamani?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Poapoa ntakukumbusha tena!!Duh[emoji1751]
Hivi ndio nakumbuka!
Nimepiga sasahivi hapatikani
Hasa siye tunaotumia App..Mi sioni tag ujue!Mpk niingie jf ndo naona
Uko vzr Dada maandalizi ya xmassSaint Anne ulimuuliza dada Ile spray??View attachment 2046444
Tena nakuja kesho huko[emoji3059]Ilete kesho 7,7 baasi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji4]
Sasahivi nitakuwa mwaminifu kukumbukaPoapoa ntakukumbusha tena!!
Njoo tu asehh!uniletee nitaila yoooteTena nakuja kesho huko[emoji3059]
Majobless hatusubiri notifications[emoji1787]
Kabisaa yaani,Mimi sipati hizo kitu kabisaa
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]mkakati wetu ni kumtoa hewani tu huyu la sivyo hatuambui!Acha tu...Vijana wanatuwahi vibaya...
Tufanye mkakati gani Dada nasi tuambulie hata moja jamani?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂🤣🤣!Uko vzr Dada maandalizi ya xmass
Tumia browser iko poa zaidiKabisaa yaani,Mimi sipati hizo kitu kabisaa
Na Dada zetu mtufikirie pia..Tuoneane huruma jamani.
Ifike mahala hizi vocha mtuachie majobless[emoji1787]
Ooh nimekumbuka sasa [emoji16][emoji16]Yale ya siku ile[emoji23]..Ni kwamba umesahau AU vyombo vimekolea?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muone...Majobless hatusubiri notifications[emoji1787]
Kabisa..Ukifanikiwa kumpata Max Mweleze juu ya hili pia[emoji23][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]mkakati wetu ni kumtoa hewani tu huyu la sivyo hatuambui!