Mimi sikupata maana sikuwa na line zangu muda huo ila nilizitupia kwenye group la majobless wenzangu.
Walipita nazo zote
,,
Zaidi sana wa TTCL wakalalamikwa kwanini wametengwa.
The rest ilikuwa furaha,walishukuru mno..kama yule aliyebeba za halotel zote.