Selfika na JF: Snap it. Show it

toka utembee!

Niliamka nikaona najisikia vibaya nikamuita rafiki yangu anitoe nilivyozurulishwaaa mbona nimechangamka!! [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2046116
Baada ya kuzidiwa usiku ,nikasema asubuhi niende kutembea huko mjini ..kuosha osha macho .

Nimetaka kudondoka kwa watu[emoji23]jinsi ninavyojisikia vibaya.
Mwili wote unawaka moto ukiongozwa na kichwa.
Sijui ndo corona part 3 Mungu wangu[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…