Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani nikikuta kuna mabishano; halafu na wewe ukawemo; aisee ni mtakesha. The same akiwepo Anne au Karma; bila kujisahau na mimi mwenyewe. Kwa kweli tupo vizuri ndugu zangu mweeh
Si unaona pasipokuwa na mabishano tunavyopooza[emoji23][emoji23]tunatia huruma. Ila acha pawe na shughuli mahali tunavyofufuka.
 
Si unaona pasipokuwa na mabishano tunavyopooza[emoji23][emoji23]tunatia huruma. Ila acha pawe na shughuli mahali tunavyofufuka.
Mimi sijui nina kapepo[emoji848][emoji1787]
Yaani mabishano hayawezi yakapita bila kunikereketa kuyachangia[emoji38][emoji38][emoji23]

Bora dada mkubwa HS huwa anaweza kuvumilia kukaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…