Katika wote sisi; angalau wewe ndiyo unajitahidi kwa upole;hawa ndugu zangu wengine ni shida kwa kweli. Ingawa kwenye misimamo yako sasa; nasemaga hakika huyu ni mnyaki
Yaani nikikuta kuna mabishano; halafu na wewe ukawemo; aisee ni mtakesha. The same akiwepo Anne au Karma; bila kujisahau na mimi mwenyewe. Kwa kweli tupo vizuri ndugu zangu mweeh