Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Dec 15, 2021 #124,341 mahondaw said: Ushafika au bado?? Click to expand... Nakaribia folen
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Dec 15, 2021 #124,342 Simara said: Yeees Click to expand... Nimewaescort wanyaki 😁😁😜
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 15, 2021 #124,343 Hivi hili jukwaa pendwa hakuna wanawake wa KISUKUMA na wao leo wavae ng'ombe ng'ombe watupie humu ili tuone kama yaliyomo yamo? Wanyaki yamo kwa kweli
Hivi hili jukwaa pendwa hakuna wanawake wa KISUKUMA na wao leo wavae ng'ombe ng'ombe watupie humu ili tuone kama yaliyomo yamo? Wanyaki yamo kwa kweli
Relief Mirzska JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 13,976 Reaction score 22,409 Dec 15, 2021 #124,344 Simara said: Majukumu Mpendwa...Mwisho wa Mwaka huu tunamalizia viporo kabla ya jumatatu kuchukua likizo ndefu, so tunakomaa tu. Click to expand... Ohhh hapo sina la kusema! Hii likizo jamani tuambiane, na krismas hizi tenaaaa. Nchi gani mkuu unaelekea???
Simara said: Majukumu Mpendwa...Mwisho wa Mwaka huu tunamalizia viporo kabla ya jumatatu kuchukua likizo ndefu, so tunakomaa tu. Click to expand... Ohhh hapo sina la kusema! Hii likizo jamani tuambiane, na krismas hizi tenaaaa. Nchi gani mkuu unaelekea???
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 15, 2021 #124,345 mahondaw said: Paka jamani!!! Vipi leo hakuna vitu vya kasava?? Click to expand... Hahaha....Vitu vya kasava ya kienyeji ndo nipo navisubiria hapa mkuu mahondaw bhana
mahondaw said: Paka jamani!!! Vipi leo hakuna vitu vya kasava?? Click to expand... Hahaha....Vitu vya kasava ya kienyeji ndo nipo navisubiria hapa mkuu mahondaw bhana
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Dec 15, 2021 #124,346 Lee said: Nakaribia folen Click to expand... Ahaaa ok , ukifika nambie!!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Dec 15, 2021 #124,347 T 1990 ELY said: Hivi hili jukwaa pendwa hakuna wanawake wa KISUKUMA na wao leo wavae ng'ombe ng'ombe watupie humu ili tuone kama yaliyomo yamo? Wanyaki yamo kwa kweli Click to expand... Ng'ombeng'ombe🤣🤣🤣🤣
T 1990 ELY said: Hivi hili jukwaa pendwa hakuna wanawake wa KISUKUMA na wao leo wavae ng'ombe ng'ombe watupie humu ili tuone kama yaliyomo yamo? Wanyaki yamo kwa kweli Click to expand... Ng'ombeng'ombe🤣🤣🤣🤣
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 15, 2021 #124,348 Simara said: Asante sana Click to expand... Naomba leo nikununulie chai mgonjwa wangu/wetu
Relief Mirzska JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 13,976 Reaction score 22,409 Dec 15, 2021 #124,349 T 1990 ELY said: Wewe umevaa pakapaka bhana Hiyo shingo yako ugonjwa wangu fika mahondaw Click to expand... Hivi kumbe kuna shingo paleee??
T 1990 ELY said: Wewe umevaa pakapaka bhana Hiyo shingo yako ugonjwa wangu fika mahondaw Click to expand... Hivi kumbe kuna shingo paleee??
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Dec 15, 2021 #124,350 T 1990 ELY said: Hahaha....Vitu vya kasava ya kienyeji ndo nipo navisubiria hapa mkuu mahondaw bhana Click to expand... Ni vizuri vinakaa tumboni husikii njaa mapema!!
T 1990 ELY said: Hahaha....Vitu vya kasava ya kienyeji ndo nipo navisubiria hapa mkuu mahondaw bhana Click to expand... Ni vizuri vinakaa tumboni husikii njaa mapema!!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Dec 15, 2021 #124,351 Relief Mirzska said: Ndio kusema mmetuamulia??? Kwamba mlipanga Leo iwe hivi?? Click to expand... Mi nimevamia tu na kuwasindikiza naona mwanzilishi ni Saint Anne
Relief Mirzska said: Ndio kusema mmetuamulia??? Kwamba mlipanga Leo iwe hivi?? Click to expand... Mi nimevamia tu na kuwasindikiza naona mwanzilishi ni Saint Anne
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Dec 15, 2021 #124,352 Relief Mirzska said: Ohhh hapo sina la kusema! Hii likizo jamani tuambiane, na krismas hizi tenaaaa. Nchi gani mkuu unaelekea??? Click to expand... Nchi??? ni Kyela vijijini huko Mkuu
Relief Mirzska said: Ohhh hapo sina la kusema! Hii likizo jamani tuambiane, na krismas hizi tenaaaa. Nchi gani mkuu unaelekea??? Click to expand... Nchi??? ni Kyela vijijini huko Mkuu
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Dec 15, 2021 #124,353 Relief Mirzska said: Hivi kumbe kuna shingo paleee?? Click to expand... Shingo!!!?? 🤣🤣🤣 Wapi hapoo???
Relief Mirzska said: Hivi kumbe kuna shingo paleee?? Click to expand... Shingo!!!?? 🤣🤣🤣 Wapi hapoo???
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Dec 15, 2021 #124,354 Relief Mirzska said: Hannah hii gari inakwenda hapa au umesimama?? Usiwege unabana miguu hivyo utakuja kuumia bure aiseeee Click to expand... Inatembea. Sawa best, sitabana tena.
Relief Mirzska said: Hannah hii gari inakwenda hapa au umesimama?? Usiwege unabana miguu hivyo utakuja kuumia bure aiseeee Click to expand... Inatembea. Sawa best, sitabana tena.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Dec 15, 2021 #124,355 mahondaw said: Juzi mngeshinda nilikuandalia bonge la sapriz Click to expand... hahahahaha
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Dec 15, 2021 #124,356 Heaven Sent said: Saint Anne naye katupia. Hivi Hannah na wewe ni nyumbani? Click to expand... Jamani kumbe ulikuwa haujui? .
Heaven Sent said: Saint Anne naye katupia. Hivi Hannah na wewe ni nyumbani? Click to expand... Jamani kumbe ulikuwa haujui? .
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Dec 15, 2021 #124,357 supu mnakunywa wapi ?
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Dec 15, 2021 #124,358 T 1990 ELY said: Naomba leo nikununulie chai mgonjwa wangu/wetu Click to expand... Mgonjwa nitanenepa kwa style hii, haya ninunulie
T 1990 ELY said: Naomba leo nikununulie chai mgonjwa wangu/wetu Click to expand... Mgonjwa nitanenepa kwa style hii, haya ninunulie
Relief Mirzska JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 13,976 Reaction score 22,409 Dec 15, 2021 #124,359 mahondaw said: Mi nimevamia tu na kuwasindikiza naona mwanzilishi ni Saint Anne Click to expand... Kumbeeee??? Sio vibaya bestyyyy. Hawa watu wa Mbeya umoja wao si wa kitoto ndio wakaamua wawe na chui chui day
mahondaw said: Mi nimevamia tu na kuwasindikiza naona mwanzilishi ni Saint Anne Click to expand... Kumbeeee??? Sio vibaya bestyyyy. Hawa watu wa Mbeya umoja wao si wa kitoto ndio wakaamua wawe na chui chui day
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Dec 15, 2021 #124,360 Hannah said: Jamani kumbe ulikuwa haujui? . Click to expand... Kumbe tupo wengi