Mungu Baba;
Kama nimekosea, nisahihishe
Kama nimepotea, niongoze
Kama nimekuwa goigoi, nitie nguvu
Nikianza kukata tamaa, nibidishe
Nakuhitaji kila sekunde ya maisha yangu
Asante besti. Nitapita nyumbani kwako leo au kesho
Mtu ukizeeka hata mzuka wa kusherehekea birthday hakuna. Na mimi nimekulia kijijini huko hakuna mambo ya birthday wala nini hivyo huwa sisherehekei japo wapo watu wanaojaribu kunilazimisha. Ila sema tu hapa majuzi juzi kiliumana mama naye akafariki siku hiyo hiyo hivyo kwangu sana sana siku hii imegeuka na kuwa siku ya kumkumbuka mama zaidi kuliko birthday hasa ukizingatia kuwa nilikuwa last born wake (