Nilikuwa ninataka kukupa pongezi ya 20k.Kwaheshima na taadhima naomba nichukue likizo ya kudumu kwenye huu uzi.Asante Mungu uzi haujafutwa japo dhoruba ilikuwa kubwa.
Asanteni washiriki wote na lile jeshi pendwa la "wanawake".
Mshana Jr nimechukua kitu kingine cha kuendea sokoni.
View attachment 1224059 kitu cha VL.[emoji28]
Na sasa naanza safari ya kuja kwako tujishindanishe viatu halafu utaleta matokeo.
Ila nilipenda tuu kusema "natembea nikiwa nimekaa. Hakikisha tunapokutana kuna parking nzuri. Nakuja pm.
View attachment 1224060
Wenye wivu hawataamini.
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112] good day.
Hii ni Benz au sio.Umegoma kuamini kwamba natembelea makalio? Picha zangu zote nilizopost ziangalie nimepigia wapi.
Watoto wazuri mjini hatupandi daladala wewe[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1224121
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kuna wanaoweza kuondoa hizo emoji zinazoziba uso.
Kumbe amekufolo instahuyo huyo mkuu.... alafu jamaa sina ubaya naye wala nini
alafu mbaya zaidi inaonekana najuana naye personaly tena tupo in gud terms sasa sijui kwann kaamua kunifanyia vile
kweli mbaya wako hatoki mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha'...Cute.
Mungu akubariki kwa kutokufuta picha.
Aisee. Huu uzi ulifanya mnara wangu ukasoma 5G ila baada ya kufika kwenye haya magari mnara umerudi G kwa unyonge.Naukome kabisa.[emoji28]
Nipo kukusanya hesabu tuu.View attachment 1224151
Tukutane makaburini kuendeleza ibada zetu kongwe..... nyie endeleeni na zilizokuja na boti[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1224770
Hahaha mekumiss tu, long time no see toka uzi wetu ule wa night kali
MrashoTukutane makaburini kuendeleza ibada zetu kongwe..... nyie endeleeni na zilizokuja na boti[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1224770
[emoji102]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana Jr huu uzi wako umeshanifanya nikajiona fala na masikini.
Uweke sheria kabisa, tutume selfie zetu sio za vitu vyetu.
Hauwezi amini mzee baba alikuwa anakaribia kuchana nguo ila sasa hivi kalala zake dadeeeek.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee. Huu uzi ulifanya mnara wangu ukasoma 5G ila baada ya kufika kwenye haya magari mnara umerudi G kwa unyonge.
Basi hapo kuna jamaa mmoja hafurukuti yaani. Ila ana haki ya kutokufurukuta maana upo vizuri kweli.
Hata mimi ningepata Toto kama wewe ningekula hata mihogo nimnunulia private jet.
Hongera Madame Mwalimu na huko kwenye ualimu unauza sura tuu maana life tayari unalo.
Ngoja nizisake chapaa.