Tatizo sio kunikasirisha tatizo ni kwamba kila mmoja ashamove on na maisha yake... Ana mtu mwingine nami nina mwanaume mwingine just imagine nipo kazini nimeletewa hio picha nijibu mashtaka! Leo badala ya kuja kuchukuliwa kupelekwa kula lunch nimeletewa hio picha nijibu tuhuma. Nimepanic na mchana nimekosa hamu ya kula tena!