Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Haichuji yaani.[emoji23][emoji23][emoji23] afu haichuji hii ngoma, na inapendwa sana ktk dance hasa mashulen, wimbo huu ni viuno kwa kwenda mbele, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi kasemaAshakubali.
Uzingue wewe tu.
Kama picha hutaki basi nipe ngoma za 50 Cent
You mean si wewe huyo? Ooh Msalimie sanaThanks kwa niaba Dear[emoji3059]
Kagoma gomaPale juu.
Fanya uweke kabla hujalala.
Okay haya you just enjoy to the fullest ni bahati iliyoje, hii sayari Earth siyo kabisa😀Tuko wawili tu
Kabisa yani!! Hapo sawa!kuna wali kuku sasa hii ni kuku wali😉
Haiwez kuwa dunia hiiOkay haya you just enjoy to the fullest ni bahati iliyoje, hii sayari Earth siyo kabisa😀
We sema tu umeninyima nilale[emoji19]Kagoma goma
Kwa hiyo mtakatifu picha yangu ndo inakufanya usilale?We sema tu umeninyima nilale[emoji19]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Lee Nani kakubali??!![emoji15][emoji15]
Sasa nikilala nitaiona vipi?Kwa hiyo mtakatifu picha yangu ndo inakufanya usilale?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nashangaa anakusingizia
Liwimbo lako bayaa😂 joke dearMimi na wewe
Tuwache makelele
Mimi na wewe milele na milele[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
[emoji23][emoji23][emoji23] watu huwa wanavurugwa sana.Haichuji yaani.
Inanoga sana kwenye sherehe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]Liwimbo lako bayaa[emoji23] joke dear
Weeeeeeeehhhh doh nimepitwaaaa.. Naomba samari kidogo nikaendelee ntakapoukutia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]$hos kimasikhara kuna ubuyu pambee huko, full kucheka. Lol