Selfika na JF: Snap it. Show it

My city,green city....MBEYA
View attachment 2041753
Mbeya inantamanisha kuishi sababu ya kuwa na gharama ndogo za kuishi, tatizo Kuna vibaka balaa. Na Mimi mpenda kutemmbea usiku na kusafiri usiku ndio hatari.
Kuna siku nimefika saa Tisa night nkakutana nao, bahati nzuri nilikuwa na mwenyeji la sivyo ingekuwa balaa.

Juzi nimelala lodge maeneo ya Soweto, mida ya saa Saba night Kali nipo busy napambana na report naskia huko nje barabarani mwizi anapigwa, mwanaume analia kama mtoto wa kike.
All in all Mbeya kuzuri.
 
Nimeiona nyumba yetu pale mlimani
 
Mhhh wee kwa ukongwe gani ulonao mpaka unajua zilotukisa Enzi hizo?? Wakati juzijuzi tu Umemaliza advance...nasahii bado unasoma au ndo elimu haina mwisho!!!
Mimi mkubwa.
Nimesoma mmemkwa


Nyimbo za 2013 kurudi nyuma ndio nazijua sasa.
Hizi za watoto wa sasa sizifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…