Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ukatafuta kweli ili uende turkey, cc bhana lol
Naenda free kabisa.
Huku kuna watu wanateseka duniani huko ili wajaribu kama wataweza kwenda.
Nina ofa yao.
Basi wanaona big deal na wakati ni vitu vidogo maishani.
 
Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia kigodoro

Aisee zile ngoma wanazicharanga hadi raha,nikatamani na mimi nikacheze[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2039669
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hiyo natoka chuo jion, karibu na mtaa wa home nakutan na kigodoro jaman wale watu wanasasambua, af had mwanaume wanakata viuno hataree lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naenda free kabisa.
Huku kuna watu wanateseka duniani huko ili wajaribu kama wataweza kwenda.
Nina ofa yao.
Basi wanaona big deal na wakati ni vitu vidogo maishani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanibebee zawadi huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hiyo natoka chuo jion, karibu na mtaa wa home nakutan na kigodoro jaman wale watu wanasasambua, af had mwanaume wanakata viuno hataree lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa sijawahi ona aiseee.
Zile ngoma zinapigwa yaani aiseee[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…