Selfika na JF: Snap it. Show it


Sitamkaribisha shetani yoyote aharibu funga yangu.


Niacheni mimi
 
Ata mimi nililiona humu ila naona wengine wanaona poa ,nilichofanya nikawaignore post zao sioni ila hiz siku imekuwa too much walishawah kunikimbiza kwenye hili jukwaa
 
Mjukuu wangu mpendwa nadhani imetosha sasa.. Nadhani ukiweza tutoe nafasi sasa kwenye muktadha wa mada maisha yasonge! Kwa utashi na hekima kuu una nafasi adhimu ya kufanya hili liwezekane
Babuuu unanionea sasa wallah iv, mbna mie nshakua cool na mambo yangu tangu mda, c we apo na huyo mwenzio ndo mmeleta hizo mada hapa tena, sijui chimao na huyo Congolese sijui


Sasa mie nimefanyaje tena?
 
Kwanini umetoka likes? Mbona hakunaga bughudha kule?

 
Kwenye likes nako shida ni gani?

Nahisi nina mwaka sijaingia
 
Ukipata chimbo nitag nami nikuje Hapa chefuuuu
kabisa!
 
Na wewe unataka uende kulia?

Kuna mwamba wetu huko cariha anapangua hoja za wanaume wanaolialia
cariha chuma cha Mjerumani kile hata muwe mia hatetereki na hakimbii wala nini. Na ukijifanya kukosa ustaarabu na yeye anakosa vile vile. Kama kweli ni mwanamke basi ni ngangari kweli kweli yaani...japo in real life unaweza kumkuta ni mtu mpolee na mtiifu tu kwa mumewe/mpenzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…