Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe


Na upenda tu
Kuwa makini,usije kuwa Kama bundi.Bundi hunusa harufu ya mtu anayekaribia kufa hata wiki moja kabla ndy maana anahusishwa na uchawi.Akilia juu ya paa la nyumba yako ni balaa

Ingawa kitaalamu binadamu anapokaribia kufa seli za mwili wake ndy huanza kufa taratibu na zinatoa harufu ingawa Sisi binadamu hatuhisi, ndy mana bundi ana uwezo wa kuhisi kifo mapema sn kwenye nyumba yenye mgonjwa mahututi anayekaribia kufa

Sasa wewe unaupenda huo wimbo wa nimeachika wa hi amber Lulu,ukiulizwa unasema unaupenda Tu
.angalia usije kuwa km bundi


Ni mfano Tu lkn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hio chombo watu wanaichukulia kizembe sana yani wanahisi experience yake ni kama Vits
Hahaha kwani umesahau mkuu? Si wanaidharau kwa sababu tu ni Toyota ni kama watu wanavyozidharau hadi Samsung kwa sababu tu ni android hivyo wanazifananisha na viandroid vingine kama Tecno and co ndiyo hao watu wako walivyo!

Hata Nissan Patrol Y62 V8 tunajua kuna BMW haziikuti sema kwa vile tu ni Nissan ndiyo maana watu wanazidharau! Kuna watu wanachambua vitu kutokana na brand na siyo uwezo halisi yaani brand ya BMW inavyosujudiwa utafikiri nini sijui!
 
LC vxr v8 sio mchezo jamani labda hao hawajawai experience wanaongea tu kwa kutazama youtube
 
Duuh sijui kwanini haya makundi mengi ya muziki (hasa ya wanaume) lazima kuwe na mmoja anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja! Kuanzia West Life, sijui One Direction, mara Sauti Sol na hata The Mafik nao nahisi itakuwa hivi hivi tu duuh!
 
Hamna kitu Kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…