Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
Sasa miaka zaidi ya 7 mbona mlikuwa hamsemi? [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe tulikua wengi ambao yale maherufi makubwa yalikuwa yanatutisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeongea la maana huku kubadili herufi kuende sambamba na kutupia selfie yake tuone hata kidole jamani chaaa [emoji2][emoji2]Ooooh!!! Afadhali aisee...
Ahsante Shimba.. tumepokea. Sikukuu njema kwenu pia..
BTW leo hebu selfika kidogo[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha basi!Ndiyo naandika magazeti hapa, jiandae. [emoji23][emoji23][emoji23]
Fresh tu....Pouwah, niaje?
Kumbe tulikua wengi ambao yale maherufi makubwa yalikuwa yanatutisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha basi!
Ambao hata muda wa kudeka hatuna pamoja na kwamba wazazi wapo tunacomment wapi [emoji19][emoji19]Pamoja Sana mkuu tuendelee kuselfika wengine ndio tunaelekea kudeka kwa mama mzazi mida hii
Huyu mchumba ulienipa kama simuelewi hiviUsije niambia umempoteza[emoji38]
Mimi nilikuwa namtunza sana aisee.
Unataka niyarudishe Mtumishi mwema? [emoji16]Basi mimi nina tatizo; nayapenda yale maherufi yake makubwa[emoji87][emoji87]
Aah we mbingu utaisikia kwenye bomba la sindano tu [emoji1787][emoji1787]Dota kwa hiyo na pilau tusiangalie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]jamani jamani!
Humuelewi mwanzo hivi wakati hata matukio hajaanza kukupiga[emoji38]Huyu mchumba ulienipa kama simuelewi hivi
Nipe mwingine bana
Habari za mbingu ni fiction tu, hazina hata ukweli wowote...[emoji125][emoji125]Aah we mbingu utaisikia kwenye bomba la sindano tu [emoji1787][emoji1787]
Awww[emoji8][emoji11]Jimbo ni lako toka siku ile mtakatifu alivyoniacha babe!😉
Sasa nyinyi mmejitakia maana unaweza tereza chap ukadeke hata siku mojaAmbao hata muda wa kudeka hatuna pamoja na kwamba wazazi wapo tunacomment wapi [emoji19][emoji19]
Unataka niyarudishe Mtumishi mwema? [emoji16]
Miaka 76 in three days nikiselfika hapa mbona mta-log off?Umeongea la maana huku kubadili herufi kuende sambamba na kutupia selfie yake tuone hata kidole jamani chaaa [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]we msukuma hebu niache kwanzaSikukuu hii unaonaje ukiselfika yale mamiguu tena? Nilisevu ile picha ila siioni. Roho inaniuma hatari yaani [emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nitayarudisha tarehe 8 Januari mtumishi. Ndiyo tarehe ambayo nitaweza kubadili ID tena. Shimba mdogo hapana kwa kweli!Hapana; wengi wape. Waache kina Karma waenjoy na shimba mdogo.