Khaa hivi kumbe ulibadili kwa sababu ya ushauri wangu mie nilijua hilo wazo ulikuwa nalo tangu mwanzo? Jamani jamani kwahiyo ukaona usizunguke sana ueleze kabisa hali halisi kwamba kuna mtu ndiyo kataka nibadili!
Ila kweli mwenyewe pale kwenye kuweka sababu za kubadili id mwanzo nilikuwa nakuna kichwa nikidhani kwamba wanataka sababu konki! Ila nilivyojua hata ukiandika yoyote wanabadilisha aahh nikawa najipachikia tu uongo!