Hiki ndo ulicho sahau mrudisheni kwenye kundi mkishindwa mkataeni uchafu hafu unajitangaza ni laana zaidi
Wote motoni sawa ila je kwa kipimo kimoja au kuna atakaemzidi mwenzie moto?Wote hao ni kuteketea ziwa la moto mkuu.
Na kama wewe ni mlevi na ikitokea ukashindwa kutubu hadi kiama basi jua utaungana na shoga motoni ambaye hajatubu.
Vizuri sana mkuuKuna wangapi humu JF wamejitangaza makahaba au malaya.. Pia humu ni social networl kuna watu wa aina mbali mbali sio kila mtu utamfata, isipokuwa yule ambae anakuwa karibu kidogo na wewe.. humu ndani kuna ma devil worshiper sasa unaenda waeleza nini hao watu? Huku mtaani nahubiri sana injili mkuu wangu kwa makundi yote
Kutamka hilo neno hadharani siwezi.Mkuu inawezekana kabisa wewe ufiraji unakutia kinyaa..na kweli unatia kinyaa.
Ila wengine hata ulevi unawatia kinyaa mno.
Mwingine uchawi unamtia kinyaa.
Kwahiyo vile unavyotiwa kinyaa na mwezio mfiraji ukute naye unamtia kinyaa hivyohivyo na ulevi au uongo wako.
Jamani tutumie lugha zenye staha kidogo..Mkuu inawezekana kabisa wewe ufiraji unakutia kinyaa..na kweli unatia kinyaa.
Ila wengine hata ulevi unawatia kinyaa mno.
Mwingine uchawi unamtia kinyaa.
Kwahiyo vile unavyotiwa kinyaa na mwezio mfiraji ukute naye unamtia kinyaa hivyohivyo na ulevi au uongo wako.
My Anne hebu achana nao .Sijakuzoea wa hviiiMkuu inawezekana kabisa wewe ufiraji unakutia kinyaa..na kweli unatia kinyaa.
Ila wengine hata ulevi unawatia kinyaa mno.
Mwingine uchawi unamtia kinyaa.
Kwahiyo vile unavyotiwa kinyaa na mwezio mfiraji ukute naye unamtia kinyaa hivyohivyo na ulevi au uongo wako.
Hayo yoote hayaondoi uasilia wa kibinadam ila ushoga unaondoa ubinadam.Mkuu wanawake kupost picha za uchi humu mitandaoni na watu kupost videos wakifanya ngono hadharani wakati lile ni tendo la faragha tena baina ya watu waliofunga ndoa tu je mnaona ni sawa na siyo dhambi? Kwanini huwa hamkemei na ndiyo kwanza mnashangilia?
Hivi hamjioni wanafiki kukemea dhambi fulani fulani tu na kuziacha nyingine? Sisi siyo kwamba tunatetea ushoga ila tutajiona wanafiki kwa sababu wanawake wanapopost picha za uchi na kujitangaza umalaya huwa tunakaa kimya ila kwenye ushoga tu ndiyo tuongee kweli?
Maandiko ndivyo yanavyosema mkuu? Kwamba kwa sababu asili ya ngono ni baina ya me na ke basi ndiyo watu wajianike hadharani wafanye mbele za watu tena hata siyo wanandoa?Hayo yoote hayaondoi uasilia wa kibinadam ila ushoga unaondoa ubinadam.
Hii pic nimeiview kwa mtu status.. Ni la familia eeeeh?
Hebu angalia unavojadiliwa humu acha kuingiliwa shika uume wako hafu jitazame upya thamani ya wanaume ni kuingilia sio kuingiliwa unajisikiaje unapokua na babayako?wee unateseka sana eeeh? Ukinikataa we inatosha sana, wenzio wako happy na mie. We huna uchafu uchafu wako wa laana?
Vipi hujambo nini?
Akhsante kushukuru mkuujamani
Asante sana Mkuu
Kwema Mungu anasaidia
Ndiyo mkuu.Hatuna tena mahala pa mie na wewe kuelewana, zaidi ya kitufe cha kuignore. Mie sio msafi sana wala mwenye haki sana.. ila siwezi lea dhambi yoyote kwa kusema dhambi zipo sawa.. na tuishi wazi wazi wanao zisifia hapanaa hiyo kitu