Selfika na JF: Snap it. Show it

cocastic mjukuu wangu mpendwa hivi unajua ninini kiliangamiza miji ya Sodoma na Gomorrah ?
Sasa uniambie baada ya sodoma na gomorah kuangamizwa, na huu wa sasa umeibukaje? Naomba unijibu kwa ufasaha.

Afu huyo aliye iangamiza sodoma na gomorah anashindwa vipi kuangamiza tena saivi? au amewaomba mumsaidie?


Babuuh naomba nijibu kwa ufasaha, usihemkwe jibu kwa utulivu.
 
Kwangu vyote vina uzito sawa aisee.
Kwahiyo kawa unaona kulala na Grace ni dogo basi huo ni mtizamo wako.
 
Mimi sipo kwa mjadala wala sina maandiko nauliza hivi anaetazama kwa matamanio akapata zambi na alietekeleza tendo watalipwa sawa kama hawajatubu?
Wote hao ni kuteketea ziwa la moto mkuu.
Na kama wewe ni mlevi na ikitokea ukashindwa kutubu hadi kiama basi jua utaungana na shoga motoni ambaye hajatubu.
 
Nilimuuliza mtu shoga akitubu anaenda mbinguni au haendi? Akanijibu anaenda sasa maneno mengine ya nini ikiwa huyu mtu anaenda mbinguni?
Mnaweza kuwa sawa ila kuna mambo yatia kinyaa.

Hema pata picha kua man wako anainamishwa ni aibu kidume kubokolewa.
Tukichekelea kwa wenzetu mzunguko utakuja kutufikia

Wafumwe ke wakijirdhisha wenyewe na me nao kivyao aibu kubwa itaangukia wapi?
 
Mkuu acha kubishana nao Ngoja hii circle ije iingie katika familia zao ndio watajua Kama alieiba penseli na kufurwa ni sawa ama laah..SISI KAMA WAZAZI INATUUMIZA SANA HAYA MADOGO USIKUTE HAYANA HATA MTOTO HAYAJUI VILE INATUKATA
 
Mnaweza kuwa sawa ila kuna mambo yatia kinyaa.

Hema pata picha kua man wako anainamishwa ni aibu kidume kubokolewa.
Tukichekelea kwa wenzetu mzunguko utakuja kutufikia

Wafumwe ke wakijirdhisha wenyewe na me nao kivyao aibu kubwa itaangukia wapi?
Mkuu inawezekana kabisa wewe ufiraji unakutia kinyaa..na kweli unatia kinyaa.


Ila wengine hata ulevi unawatia kinyaa mno.

Mwingine uchawi unamtia kinyaa.


Kwahiyo vile unavyotiwa kinyaa na mwezio mfiraji ukute naye unamtia kinyaa hivyohivyo na ulevi au uongo wako.
 
Na wewe haunielewi

Endelea na weight zako mkuu
Mungu ana kipimo chake ambacho si chako.

Na hatutakaa kamwe tuelewane katika hili


Endelea tu na nyimbo za kuabudu mkuu,,huko tutaelewana.
 
Hakika hapa umeua kila kitu.
sana mommah. Kweli bible unajua kuichambua na kuielewa vyema. Ubarikiwe sana.
 
Na wewe haunielewi

Endelea na weight zako mkuu
Mungu ana kipimo chake ambacho si chako.

Na hatutakaa kamwe tuelewane katika hili


Endelea tu na nyimbo za kuabudu mkuu,,huko tutaelewana.
mnanichekesha sana nyie khaaah.
 
Mnaweza kuwa sawa ila kuna mambo yatia kinyaa.

Hema pata picha kua man wako anainamishwa ni aibu kidume kubokolewa.
Tukichekelea kwa wenzetu mzunguko utakuja kutufikia

Wafumwe ke wakijirdhisha wenyewe na me nao kivyao aibu kubwa itaangukia wapi?
Mkuu wanawake kupost picha za uchi humu mitandaoni na watu kupost videos wakifanya ngono hadharani wakati lile ni tendo la faragha tena baina ya watu waliofunga ndoa tu je mnaona ni sawa na siyo dhambi? Kwanini huwa hamkemei na ndiyo kwanza mnashangilia?

Hivi hamjioni wanafiki kukemea dhambi fulani fulani tu na kuziacha nyingine? Sisi siyo kwamba tunatetea ushoga ila tutajiona wanafiki kwa sababu wanawake wanapopost picha za uchi na kujitangaza umalaya huwa tunakaa kimya ila kwenye ushoga tu ndiyo tuongee kweli?
 
Sodoma na Gomorrah iliangamizwa kwa sababu ya kufuru ya kuzibuana mitaro.. Kumbuka hii dhambi ndio ilikula kichwa cha mke wa Lutu...!
Binadamu wote tunatenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu na si wakamilifu ndio maana haya matendo yanajirudia
Mungu alishasema hataangamiza tena ulimwengu kwa maji au moto kwakuwa sasa yuko aliyemwaga damu yake ya thamani pale msalabani Golgota ili kila amwaminiye asipotee dhambini bali aokolewe na kuandaliwa kuurithi uzima wa milele
Haya yanayotokea sasa hakuna jipya bali ni marudio ya ambayo yalishatokea na kuleta ghadhabu kubwa machoni mwa Bwanaa.. Lakini kwakuwa baadhi yetu tu wagumu kupokea maonyo tunashupaza shingo na kudhani maonyo hayo si lolote si chochote kama tusipokombolewa kwa neema basi Mungu anajua namna bora ya kuadhibu
 
Sasa mbona dhambi nyingine hamkemei mkuu wangu? Mbona sijawahi kuwaona makahaba wakikemewa kama mashoga wanavyokemewa?

Ni kweli mtu akikanywa aache dhambi na akakataa basi atengwe tu! Lakini kwanini mchague hao watu wa kuwatenga hamuoni kama mna ubaguzi?
 
Waefeso 5:18
Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;

Luka 21:34
Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo;

Uhuru day
Umenichekesha yaani tungekuwaga hivi siku zote wallahi dunia ingekuwa mbali sana
 
Ahsante babuuh kwa andiko lako hili tena nimelisoma mara 3 na kulielewa vilivyo.

1, hakuna jipya yote haya ni marudio tyuuh ya yaliyokuepo zamani.
2, hakuna asiye na doa, makosa wala upungufu wa utukugu wa Mungu.
3, Mungu hataangamiza tena kwa maji na moto maana yupo aliyeitoa damu yake na kufa msalabani golgota, ili ukombozi uwepo kwa wamuaminiao, na wale wasiotii maonyo hayo basi MUNGU. ana namna yake ya kuadhibu.

Nadhani sasa wee babuuh hebu soma kwa ufasaha hivi nilivyoviandika kutoka ktk andiko lako, nadhani utapataa kitu.


Ahsante sana babuuuh, ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…