Selfika na JF: Snap it. Show it

Na yale maandiko kule juu aliyoweka Karma umeyasoma?

Kwa hiyo umechukua andiko la mtume paulo na kulibandika kwenye dhambi moja tu,huku nyingine ukiipamba na kusema haina aibu sana kuitaja!?!
 
Hujaelewa chochote katika yote niliyo andika, ungekuwa umenielewa sidhani kama ungekuja na weka points kama hizi
Mbona unakimbilia kusema sijaelewa badala ujibu swali?
Anyway
Basi mkuu
Njia nzuri kila mmoja abaki na kutoelewa [emoji120][emoji120]
 
Naona rafiki yangu unahangaika na watu waliohalalisha dhambi za kwao kutoziita dhambi ila za wengine wanaziona dhambi.
Haya mahalalisho bila shaka bangi ilihusika.

Okoa nguvu na muda wako.
Kwa kweli nimegundua napoteza tu muda wangu na nguvu zangu na hakuna ambaye yuko tayari kukubaliana na mwenzie kwahiyo bora nifunge tu huu mjadala just to save my time and energy! Walionielewa wamenielewa na waliomuelewa wamemuelewa kila mtu abaki na anachoamini simple as that!
 
Waache waendelee kujihesabia haki my dear hawajui mtu jinsi unavyiona dhambi fulani ni mbaya ndivyo unavyotafuta nafasi ya kuitubu hiyo dhambi! Mtu ukishaichukulia dhambi fulani ni ya kawaida basi utabweteka hutatubu ukijua kwamba utasamehewa tu kwa sababu eti kuna watu wenye dhambi kubwa zaidi yako ila hautaamini utakachoenda kukutana nacho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…