Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena kwa dadangu Lenie ndo kabisaa afadhali hata kwa wale wajukuu zangu wengine. Huoni hapa tumeongea ishu za ugali? Wewe ugali wa Kisukuma utauweza? Acha hizo!
Wewe ugali wa mtama utauweza?! Tuanzie hapo au unafikiri mimi wale wa bajia za dengu, chapati, sambusa na chipsi yai??
 
jamaaa mtu sana huyo....nimeanza kumfuatilia kitambo wengine ni mashort temper kidogo tunapanik
 
Daah kama mimi asee
I hope my liver is still strong maana huu mwezi nimeuanza vibaya hadi najisikitikia
Kapime afya ya viungo hivyo, ujue hali yako, mara moja kwa mwaka siyo mbaya ujue hali yako na mustakabali...jamaa yangu mmoja huwa anasema hawezi kuja kufa ini, figo, moyo, mapafu vyote vizima acha ale gambe na fegi ikifika imefika
 
For sure
 
Hongera kwa hili SYB, hakika sio rahisi.
Thank you kwa hizi busara🙏...
 
Hongera kwa hili SYB, hakika sio rahisi.
Thank you kwa hizi busara
...
Naona leo nimeangukiwa na zali la kuhongereshwa uwii! Ajabu sasa sina hata ka champagne humu ndani ka kujipongezea.

Asante sana bageshi. We mwenyewe u mpole mpaka basi yaani. Kaka mtu nasubirisha tu shemeji atakayejitokeza tumpige ng'ombe za kueleweka kwa kutuchukulia cha upole wetu...Blessings sana


Halafu bageshi. Hivi ulishawahi kuselfika humu kweli? Naomba nikuone bageshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…