Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
I can tel its a nice whip by just lookin at the centre console..... saaaaaafi sana


I can tel its a nice whip by just lookin at the centre console..... saaaaaafi sana


Chuma ulete wanaendaga kwa wanyongesubiri chumaulete

Asante mkuu.Louis Vuitton...si mchezo
Mtoko mwema
Tangu nimejua habari za Nissan juke hapa Dar nimeziona mbili tuu.Uwiiiii, hii hata mimi nakaa mbali.
Nipe lokesheniUsisahau kupita ofisini kwangu hapa na mimi nipigiamo kapicha.
Hallelujah, hakika hauna furushi.Asante na pongezi za dhati ziende kwa shemeji yako.
Asante na pongezi za dhati ziende kwa shemeji yako.
Mimi mwenyewe tangu nimeaga najikuta narudi rudi.![]()
shingo hiyo mama😋😋😋😋
Mimi mwenyewe tangu nimeaga najikuta narudi rudi.![]()



Mshana apunguze haya madawa tu jamaniNaomba niwe Ben10 wako au dereva wako please.Kwaheshima na taadhima naomba nichukue likizo ya kudumu kwenye huu uzi.Asante Mungu uzi haujafutwa japo dhoruba ilikuwa kubwa.
Asanteni washiriki wote na lile jeshi pendwa la "wanawake".
Mshana Jr nimechukua kitu kingine cha kuendea sokoni.
View attachment 1224059 kitu cha VL.
Na sasa naanza safari ya kuja kwako tujishindanishe viatu halafu utaleta matokeo.
Ila nilipenda tuu kusema "natembea nikiwa nimekaa. Hakikisha tunapokutana kuna parking nzuri. Nakuja pm.
View attachment 1224060
Wenye wivu hawataamini.
good day.
Niko kibamba nalewa😏Upo wapi nikupe lift na round pia.


Njoo pm.I miss you more lil sis, wewe na Khantwe naona ndiyo hamjataka kabisa kujihusisha kwenye huu uzi aise naona dawa za Mshana kwenu ziligonga mwamba japo picha zenu nilitamani sana nizione ila mlizifuta.
Au nikuje pm??![]()
Mpaka ninenepe.Hapo sawa. Tuwekee hako kamwili kako tusafishe macho.
@4G LTE Njoo mchukue ndugu yako.Tangu nimejua habari za Nissan juke hapa Dar nimeziona mbili tuu.
Upo juu mama.
Watu wanapost wakiwa na magari yao, acha nami niposti ikiwauma kivyao...
wengine benzi, wengine vitz ila pikipiki huku huzikuti....
Habari sio habari bila gari,,,huwezi kupata like ukiwa juu ya baiskeli...View attachment 1224301



