Huyu anaitwa Solom Lange - Grace
View attachment 2032991
View attachment 2032992
View attachment 2032993
Na za kusifu pia!!Huyu anaitwa Solom Lange - Grace
View attachment 2032991
View attachment 2032992
View attachment 2032993
#PrayerMountain#
#MaombiNiAkiba#
Tusisahau kusali wapendwa, especially wakati ambapo kuna amani na shwari kuu kwenye maisha yetu. Wakati wetu wa tabu na dhiki; hata nguvu za kufungua mdomo na kuomba wengi wetu huwa tunakosa. Akiba yetu ya maombi tuliyojiwekea, inatusaidia tunapokuwa dhaifu na kuishiwa nguvu. Methali 24:10 "Ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache"
WAKEPRAYSLAY.
Saint Anne niendelee na slaying time ama nisiendelee?View attachment 2032935View attachment 2032936View attachment 2032937View attachment 2032938
Worship.saint Anne Naomba nyimbo nzuri za kusifu na kuabudu!
Asante sanaHuyu anaitwa Solom Lange - Grace
View attachment 2032991
View attachment 2032992
View attachment 2032993
Shukrani 🙏Worship.
Kwa worship kali muone Holyman Kijana wa hovyo hovyo View attachment 2033008View attachment 2033011View attachment 2033012
Nitakuwa nakuwekea taratibu.Shukrani
Amen dada.
Somo hili ni zuri mno,,nilifundishwa mahala ila sikuweza kulielewa haraka.
Nilifanya kusali tu hivyohivyo ila kumbe yale maombi huwa ni potential kubwa.
Kuna wakati wa shida unafika,hata nguvu ya kusali Inapotea..ile akiba ndio huwa msaada.
Ubarikiwe kwa somo zuri...
Nadhani ile akiba yangu kuna mahala ilinivusha na bado naitumia,,,sasa ni muda wa kujenga tena akiba nyingine.
Wakati wote Mungu ni mwema.
Tuendelee na picha zako sasa ili nileft mazima
Tùendelee na Neno
Neno lako moja tu...moja tu utawapokea hapo muda si mrefu. Bibi na mini Mkono watajumuika nao, si anaendelea vizuri?
Kama una nyingine nzuri nzuri Naomba nitumie hapa..zile za kuzama rohoni kabisa!
Usiku wangu utakua fureshhhhhhh kabisa!!!!!Worship.
Kwa worship kali muone Holyman Kijana wa hovyo hovyo View attachment 2033008View attachment 2033011View attachment 2033012
Neema ya Mungu ni kubwa mno,Mdogo angu; acha tu.
Daah sasa nyie vivuruge wangu mkileft, mbona ntapooza sana? Ngoja nimalizie kunyoosha mapande sita yangu
Barikiwa sana mpendwa!
Amen... Amen..#PrayerMountain#
#MaombiNiAkiba#
Tusisahau kusali wapendwa, especially wakati ambapo kuna amani na shwari kuu kwenye maisha yetu. Wakati wetu wa tabu na dhiki; hata nguvu za kufungua mdomo na kuomba wengi wetu huwa tunakosa. Akiba yetu ya maombi tuliyojiwekea, inatusaidia tunapokuwa dhaifu na kuishiwa nguvu. Methali 24:10 "Ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache"
WAKEPRAYSLAY.
Saint Anne niendelee na slaying time ama nisiendelee?View attachment 2032935View attachment 2032936View attachment 2032937View attachment 2032938
Zikimfikia juu Anashuka.Usiku wangu utakua fureshhhhhhh kabisa!!!!!