Uwiiiii, hii hata mimi nakaa mbali.Kwaheshima na taadhima naomba nichukue likizo ya kudumu kwenye huu uzi.Asante Mungu uzi haujafutwa japo dhoruba ilikuwa kubwa.
Asanteni washiriki wote na lile jeshi pendwa la "wanawake".
Mshana Jr nimechukua kitu kingine cha kuendea sokoni.
View attachment 1224059 kitu cha VL.
Na sasa naanza safari ya kuja kwako tujishindanishe viatu halafu utaleta matokeo.
Ila nilipenda tuu kusema "natembea nikiwa nimekaa. Hakikisha tunapokutana kuna parking nzuri. Nakuja pm.
View attachment 1224060
Wenye wivu hawataamini.
good day.
Hii sio funguo ya IST kweli?tukutane PM... Nimeiona gearleaver... That one can tell it all.. Mimi sina makuu
View attachment 1224077
Nimekumiss mimi.Hahahaha unatembelea makalio siyo?? Anyway naona lile jeshi linaanza kupungua taratibu kwenye huu uzi sijui na mimi nijiengue tu maana naona ni wiki sasa sisomi nyuzi nyingine nashinda humu tu daah nipunguze sasa aise niwe naingia mara moja moja tu, see you in MMU.
Huku ni wapi?Mshana Jr hebu sema neno mzeee mvua iishe tufanye mambo yetu. View attachment 1224107
Nilisema mimi bora ungepata Vits ona unavotusumbua.Umegoma kuamini kwamba natembelea makalio? Picha zangu zote nilizopost ziangalie nimepigia wapi.
Watoto wazuri mjini hatupandi daladala weweView attachment 1224121
Kumbe kamshahara kiduchu hivi? any way kwa maisha ya Msata-wame inatosha, onyesha pesa nyingine kama zipo tuje usiku kukutembelea.Shauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177
Usisahau kupita ofisini kwangu hapa na mimi nipigiamo kapicha.
Unashangaa nini
Asante Baba P.Pole mama p
Naandaa andaaView attachment 1224257
Andika tu,soon unknownmously will be knownKuna kitu nilitaka kuandika!!

Hahahah one day yesWote nyie ni mama wachungaji