Ukivaa nguo zinakukaa vizuri,pia haiba yako inakuwa nzuri
Mkuu hujawahi kusikia kwamba kitambi kinamwondolea mtu mwonekano mzuri,Hadi kuna baadhi ya nguo akivaa anachukiza?
Unanielewa point yangu bn,mwili wa mtu wa mazoezi unakuwa vizuri kuliko wa mtu asiyefanya,hiyo iko wazi kbs
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app