Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,241 Tuanze vita nyingine sasa ya ulevi Walevi wanyongwe Ex wangu Jack Palladino hapa hautapona baba.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Dec 4, 2021 #120,242 Saint Anne said: Hadi kaifikie hii comment ni asubuhi Click to expand... Ila omba sana Mtakatifu usizae litoto shoga!
Saint Anne said: Hadi kaifikie hii comment ni asubuhi Click to expand... Ila omba sana Mtakatifu usizae litoto shoga!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 4, 2021 #120,243 Saint Anne said: Tuanze vita nyingine sasa ya ulevi Walevi wanyongwe Ex wangu Jack Palladino hapa hautapona baba. Click to expand...
Saint Anne said: Tuanze vita nyingine sasa ya ulevi Walevi wanyongwe Ex wangu Jack Palladino hapa hautapona baba. Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,244 Hili joto linaweza kuuwa mtu aisee
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,245 cocastic said: Click to expand... Ni vita juu ya vita Watupiwe baharini
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,246 SHIMBA YA BUYENZE said: Ila omba sana Mtakatifu usizae litoto shoga! Click to expand... Wakati wote Mungu ni mwema
SHIMBA YA BUYENZE said: Ila omba sana Mtakatifu usizae litoto shoga! Click to expand... Wakati wote Mungu ni mwema
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Dec 4, 2021 #120,247 Saint Anne said: Hili joto linaweza kuuwa mtu aisee Click to expand... Si mnasema mvua zimenyesha?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,248 kijani11 said: Si mnasema mvua zimenyesha? Click to expand... Ni kama zimelizidisha
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 Dec 4, 2021 #120,249 SHIMBA YA BUYENZE said: Pole sana mkuu. Naonaga wataalamu wa tiba asilia wakijitapa kuwa wanaweza kuvitibu. Hata humu akina MziziMkavu huwa wanajitapa kuwa vinatibika. Jaribu na huko kama bado hujajaribu... Click to expand... Duuuh bro vile cdhan Sent using Jamii Forums mobile app
SHIMBA YA BUYENZE said: Pole sana mkuu. Naonaga wataalamu wa tiba asilia wakijitapa kuwa wanaweza kuvitibu. Hata humu akina MziziMkavu huwa wanajitapa kuwa vinatibika. Jaribu na huko kama bado hujajaribu... Click to expand... Duuuh bro vile cdhan Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,250 cocastic said: punguza makasriko yako wee kijana, wee ukinywa pombe, na mwenzako akakunjwa 7, unaumia na kuteseka wapi? Na uache kupanick hovyoo, nlishakuambia huna hoja wee, ulikua mbishi, kilichofuata? Poleeeeeeeeh. Click to expand... Achana na wavuta bangi.
cocastic said: punguza makasriko yako wee kijana, wee ukinywa pombe, na mwenzako akakunjwa 7, unaumia na kuteseka wapi? Na uache kupanick hovyoo, nlishakuambia huna hoja wee, ulikua mbishi, kilichofuata? Poleeeeeeeeh. Click to expand... Achana na wavuta bangi.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Dec 4, 2021 #120,251 Saint Anne said: Ni kama zimelizidisha Click to expand... Duh na nna safari ya kuja huko kukikucha panapo majaliwa....
Saint Anne said: Ni kama zimelizidisha Click to expand... Duh na nna safari ya kuja huko kukikucha panapo majaliwa....
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,252 Gregory 2000 said: Ulcers ni mbaya, asikwambie mtu,,from wailes to sudani just for a snack ili viache kuuma,,, na dawa za mwezi mzima View attachment 2031998 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pole sana. Mimi niliugua na nilipona bila kumeza hiyo dosage ya hospital maana niliona siwezi kuhimili mikiki yake. Nilijitahidi kula mara kwa mara na vyakula laini ,nilipendelea zaidi mlenda. Nilitumia unga wa mbegu la parachichi ndani ya wiki kadhaaa... Pia nilifanya sana maombi kwa imani, hatimaye nikapona kabisa ndani ya miezi miwili tu
Gregory 2000 said: Ulcers ni mbaya, asikwambie mtu,,from wailes to sudani just for a snack ili viache kuuma,,, na dawa za mwezi mzima View attachment 2031998 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pole sana. Mimi niliugua na nilipona bila kumeza hiyo dosage ya hospital maana niliona siwezi kuhimili mikiki yake. Nilijitahidi kula mara kwa mara na vyakula laini ,nilipendelea zaidi mlenda. Nilitumia unga wa mbegu la parachichi ndani ya wiki kadhaaa... Pia nilifanya sana maombi kwa imani, hatimaye nikapona kabisa ndani ya miezi miwili tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,253 kijani11 said: Duh na nna safari ya kuja huko kukikucha panapo majaliwa.... Click to expand... Usafiri salama mkuu,
kijani11 said: Duh na nna safari ya kuja huko kukikucha panapo majaliwa.... Click to expand... Usafiri salama mkuu,
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Dec 4, 2021 #120,254 Saint Anne said: Usafiri salama mkuu, Click to expand... Amina.
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 Dec 4, 2021 #120,255 Saint Anne said: Pole sana. Mimi niliugua na nilipona bila kumeza hiyo dosage ya hospital. Nilijitahidi kula mara kwa mara na vyakula laini ,nilipendelea zaidi mlenda. Nilitumia unga wa mbegu la parachichi ndani ya wiki kadhaaa... Pia nilifanya sana maombi kwa imani, hatimaye nikapona kabisa ndani ya miezi miwili tu Click to expand... Daaaamn,, bi mkubwa kashapiga sana kelele kwenye parachichi mie ndo kwanza kama sisikii,, Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne said: Pole sana. Mimi niliugua na nilipona bila kumeza hiyo dosage ya hospital. Nilijitahidi kula mara kwa mara na vyakula laini ,nilipendelea zaidi mlenda. Nilitumia unga wa mbegu la parachichi ndani ya wiki kadhaaa... Pia nilifanya sana maombi kwa imani, hatimaye nikapona kabisa ndani ya miezi miwili tu Click to expand... Daaaamn,, bi mkubwa kashapiga sana kelele kwenye parachichi mie ndo kwanza kama sisikii,, Sent using Jamii Forums mobile app
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 4, 2021 #120,256 Saint Anne said: Achana na wavuta bangi. Click to expand... Umeona alivotuita mie nawee?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 4, 2021 #120,257 Saint Anne cc wee n kimbau mbau kumbe?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,258 Gregory 2000 said: Daaaamn,, bi mkubwa kashapiga sana kelele kwenye parachichi mie ndo kwanza kama sisikii,, Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ila ni kwamba unajikomoa mwenyewe. Na hiyo ni hatari kwa afya yako hivyo vidonda vikifika stage mbaya. Ningekuwa huyo bimkubwa ningekuweka kwenye mstari ungenyooka na kupona haraka.
Gregory 2000 said: Daaaamn,, bi mkubwa kashapiga sana kelele kwenye parachichi mie ndo kwanza kama sisikii,, Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ila ni kwamba unajikomoa mwenyewe. Na hiyo ni hatari kwa afya yako hivyo vidonda vikifika stage mbaya. Ningekuwa huyo bimkubwa ningekuweka kwenye mstari ungenyooka na kupona haraka.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,259 cocastic said: Saint Anne cc wee n kimbau mbau kumbe? Click to expand... Mno. Ila ukute anayesema naye yupo kama ukuni au ukute ni tukunyema kama shangazi kaja lililojaa mchanga.
cocastic said: Saint Anne cc wee n kimbau mbau kumbe? Click to expand... Mno. Ila ukute anayesema naye yupo kama ukuni au ukute ni tukunyema kama shangazi kaja lililojaa mchanga.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 4, 2021 #120,260 cocastic said: Umeona alivotuita mie nawee? Click to expand... Bangi inapigwa marufuku