Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila kuna watu wamechanganyikiwa
Imagine mtu anasema kaa kimya
 
I am sorry miss,, i don't mean to offend ya or anything like that,,
If you are free someday in the future, i would like to have a cup of coffee with you

I am both amazed and thrilled by your points and you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mnaona sasa! Yaani hadi Shetani mnamvisha utakatifu kwamba eti hata dhambi ya ushoga haimuhusu wakati Mungu mwenyewe kawaacha wanaishi na wengine anawabariki na anawapa nafasi ya kutubu vinginevyo si angewaua tu chap!
sawa sawa kila mtu abaki na anachokiamini mkuu....ausio
 
Ngoja nikuhadithie mimi japo hujaniuliza

Karma alipost picha za miguu yake, cocastic akasema ameipenda..mjadala ukaanza hapo yakaingizwa mambo ya kupaka rangi,,karma akasema huwa hajiweki kikikekike ,hayo mambo ya urembo na nini.
Cocastic akasema ana dada yake pia ni tomboy..mjadala ukaendelea..wahuni wakaja kuingiza comment za ufiraji ndio hilo varangati linarindima hapo
 
Ila kuna watu wamechanganyikiwa
Imagine mtu anasema kaa kimya
Aahh huyo ni genius siku zote kwani we humsomagi hata kwenye comments zake nyingine? Na nina uhakika haujawahi mkuta kwenye nyuzi nyingine akiwa anajisifia mbona utampenda maana anaonaga wengine wote ni vilaza yeye ndiyo yuko vizuri na anajua kuhusu kila anachokiongelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…