Selfika na JF: Snap it. Show it

Kutoka ktk mjadala wa kisayansi hadi mjadala wa kidini.
Huu ni mtori, nyama ziko chini.
DJ waleteeeeeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa!
Jaman Dar wamezid kwa shughuri lol, yaan kila siku n vigoma na vigodoro, mda ote unakuta ngoma tuuh zinalia ujue tayar kna jambo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] miaka mingi sana sijaona iko kilovishwa kwenye ndizi!
Wee hutumiagi? Ko wee n mnofu kwa mnofu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitak shos ujue?
 
Hahahaaa!!!kwanini??? Hupendi ule mtelezo ama??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]
Haha...Bamia ina utelezi fulani hivi kwangu huwa nauchukulia tofauti sana

Labda nikute bamia imewekwa kwenye mlenda zile mbegu zake ndo huwa nakula
 
mimi siwez mvumilia shoga.....
 
Haha...Bamia ina utelezi fulani hivi kwangu huwa nauchukulia tofauti sana

Labda nikute bamia imewekwa kwenye mlenda zile mbegu zake ndo huwa nakula
Tehteh.. unauchukulia tofauti kivipi sasa!!???[emoji854][emoji854][emoji854]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…