Selfika na JF: Snap it. Show it

Amini amini nawaambia,kuna boya mmoja ana picha yako kwenye simu yake halafu yupo na marafiki zake anawaonesha huku anasema "Huyu ni mchumba wangu" [emoji23][emoji23],wakat huo hujawahi hata kumsalimia hata mkikutana njiani


Mabaharia mpoo!! mnapangwa humu na ma manzi[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
[emoji848][emoji123][emoji109]tukutane PM... Nimeiona gearleaver... That one can tell it all.. Mimi sina makuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Likizo inasababishwa na nin?
 
Nitakumiss sana,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…