Hapo unichanganya, kama upo hivyo unadeka na unahitaji mwanauma ambae atakudekeza na kukujali .. msimano unao unaweza msaidia mwenzako mahala anapo yumbo kimsimamo.. πππππ
Hapo unichanga, kama upo hivyo unadeka na unahitaji mwanauma ambae atakudekeza na kukujali .. msimano unao unaweza msaidia mwenzako mahala anapo yumbo kimsimamo..
Aahh basi wewe hufai kabisa kuwa kaka yangu. Mimi sina kaka sisi kwetu wote tumezaliwa wa kike, hivyo wanaume wote wanaonitongoza huwa natamani waishie tu kuwa kaka/rafiki zangu, na hii ni kwa faida yao wenyewe maana mimi atakayekuwa mpenzi/mume wangu namuonea huruma sana.
Daah sema camera za iphone macho matatu ni konyo kwa kweli, yaani kitu crystal clear.
Ningekuwa sikufahamu kama wewe ni fogo ningesema huyo siyo wewe umechukua picha ya mtu mwingine, si unatujua tena wabongo mtu akiwa hana analazimisha wote wawe hawana kama yeye.