Ukifika kigamboni kata kulia kunagar imepaki ukienda mbele kidogo utamkuta jamaa anasoma gazeti basi kata kushoto utakuta watoto wanacheza vuka mtaro pembeni utakuta mama anachoma vitumbua basi hapo utakua umekaribia
Ukifika nipigie cm