Selfika na JF: Snap it. Show it

It pains a lot!!!!!![emoji45]
Kabisa mkuu

Huwa nawaza vile anavyonipa mimi na jamaa na yeye apewe hivyo hivyo au apewa zaidi sababu hawajazoeana(ndo kwanza wanaanza wanaonyeshana utundu)

Namajamaa huwa yanakunja ili yasipoteze pambano[emoji3]

Halafu mimi nafanya/gegeda kikurungenzi kisa/sababu tumezoeana eti!!
 
Kinachofanya watu kutoka nje sio game hata, kunyandua ni kitu kidogo katika bond.. kinachopelekea watu kutoka nje kuna zaidi ya hapo nayo huwa uchungu moyoni mwa mtu.. fahamu ku deal na uchungu wa mwenza wako ndani yake, kamwe huto pigiwa, mtaachana labda kwa mengine... na mtu anaejielewa hawezi vunja mapenzi kisa kugongeaana, kuna mambo mazito sana mtu akikueleza hapo una accept kuachana ila haya ya ki madhaifu hapana kwakweli ... shughulika na uchungu wa mwenzako huto ona anaenda kuuza mechi nje
 
Sababu kuu ni kugongewa bhasi
 
Kugegeda kikurugenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimecheka sn[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Naona upo uwanjani mkuu[emoji28]
Alafu ndy mida yake hii ya mechi inakaribia

Alfu mkuu km unampata wa bukoba wale wa katelelo wa kumwaga maji kitandani hiyo shuka itakuwa balaa[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Hayo mambo situmii mkuu! Umri ulishanitupa mkono. Purukushani zingine unawezafupisha siku za kuishi. Huu sio wakati wa matukio, ni kufanya yale yanakupatia furaha sio karaha ( ogopa sana kuweka furaha yako mikononi mwa mtu mwingine).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…