Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shida na Raha mkuu wangu haipo siku hizi 😀😀😀, tuta fail hapo. Tutalala na njaaa acha mie niende na Depal wangu asee
Basi wacha niendelee kupambania kombe kwanza Hadi nitoboe

Kwanza kumiliki warembo km hawa kina mahondaw unahitaji ujipange kiuchumi vinginevyo utaishiwa kugongewa Tu na wenye nazo 😅 (sizitaki mbichi hizi)
 
Wazo zuri sn..Tatizo sina mchuzi,hebu muulize huyo mahondaw yupo Tyr kukibeba kile kiapo cha madhabauni cha 'umpende kwenye shida na Raha?'

Kama jibu lake ni ndiyo basi nami nipo Tyr kupambana usiku na mchana ili siku moja nimpeleke siyo Tu Manhattan Bali hata pia visiwa vya Ibiza Spain Kula maraha
Tatizo manenooo mtu anaeza kukutamkia maneno matamu matam unajiona wewe ndio wewe the whole world maneno matamuuuuu...vitendo sasa!!!!! Ngachoka!!
 
Tatizo manenooo mtu anaeza kukutamkia maneno matamu matam unajiona wewe ndio wewe the whole world maneno matamuuuuu...vitendo sasa!!!!! Ngachoka!!
Hapo kwenye maneno matamuMimi sijakutamkia maneno yoyote matamu zaidi ya kukuambia ukweli kwamba ninapambana kuzisaka

Sisi watoto wa mtaa tuko real,hatuna kupakapaka maneno rangi na blah blah kibao,Sisi tunachojua ni kupenda Tu😎..maneno matamu na zawadi za Maua nawaachia kina .... Wa kishua 😅
 
Hapo kwenye maneno matamuMimi sijakutamkia maneno yoyote matamu zaidi ya kukuambia ukweli kwamba ninapambana kuzisaka

Sisi watoto wa mtaa tuko real,hatuna kupakapaka maneno rangi na blah blah kibao,Sisi tunachojua ni kupenda Tu..maneno matamu na zawadi za Maua nawaachia kina .... Wa kishua
Nimesemea generally.. huwezi kupingana na nature nowdays tunavumilia tu hatuna namna!
 
Mkuu bila Shaka wewe ni shsbiki wa Simba
Hapana mkuu, maadhimisho ya tar 01 December, siku ya ukimwi. Mie sina timu, moyo wangu mdogo sana kuumia kwa kitu ambacho siweziongeza bidii tushinde ila nafaidi maumivu.

Screenshot_20211201-193412.jpg
 
Back
Top Bottom