Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,283
- 95,577
Ntatupia night night nasubiria watoto walale!!!!
hahahaha
Ntatupia night night nasubiria watoto walale!!!!
Wacha walale kwanza na nikivyo single hivi nipo till mornie[emoji38]Ntatupia night night nasubiria watoto walale!!!!
Ivo yani . Stay tuned Mida midahahahaha
Ivo yani . Stay tuned Mida mida
[emoji11]
Mi nshatupia nyingi tuhahahaha... Tupia nitupie
Valentina unataka kuniondoa stress[emoji854][emoji11]
Nipate kibali kwa mtakatifu kwanza
Nishaachana naye huyo.Nipate kibali kwa mtakatifu kwanza
Jamani nimeachwa public kabisa[emoji2357]hapa na stressNipate kibali kwa mtakatifu kwanza
We msamehe mwenzio bana[emoji28]Nishaachana naye huyo.
Kuwa huru tu.
Atakusamehe mwaya, hapo anatingisha kiberiti tuJamani nimeachwa public kabisa[emoji2357]hapa na stress
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Na x wako.Kama bado tunaelewana nanani?????
Hanipendi.We msamehe mwenzio bana[emoji28]
Nooo, unaweza mtunzia hadi atakapo rudi...nadhani nitakua salama zaidi kwako[emoji2357]Atakusamehe mwaya, hapo anatingisha kiberiti tu
Eti Jack ya kweli haya?Hanipendi.
Mimi ndio nilikuwa naforce mambo.
We usikubali kuachika kirahisi rahisi mwayaNooo, unaweza mtunzia hadi atakapo rudi...nadhani nitakua salama zaidi kwako[emoji2357]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app