Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Au nasema uongo mchumba?
Kuna wadada Mungu nampongeza kuwapa Jinsia waliyonayo.Maonyesho si mazuri kabisa.
Kongole kwa huyo dada maana kanishinda kwa tabiaπππlakini alikuwa sahihi kabisa maana ni boifrend huna uhakika kama. Atakuoa ama la na pengine hata mpango huo hana πββοΈπββοΈ Hata mimi ningesema sina waaaaaahhiii..mtu unajikuta uko kwenye mahusiano lakin hujui yanahusiana na nini kha.
Ila Lizzy tuache masihara kuna wakaka wako vizuri nyie unaweza kumla bila mbogaπkho kho kho kikohozi kimenibana sanaπ
Kupata mpenzi atakae weza kusema "am taken" angali yupo mbali na mpenzi wake, ni kibarua haswaa..Hata mimi kuna wakati nakuwa singali kuna wakati nakuwa dabo mule mule inategemea niko mazingira gani tunaishi nao.kiukweli niko singo jaman π€£π€£π€£
ππAhaa hapa safi!!
Mtotooooo!Jua kali..View attachment 2028320
Mrs , T 1990 ELY nakuona mnajawaza kiwese muende kula bataJua kali..View attachment 2028320
Halafu huyu jamaa ana pisi ngapi humu, kuna ile pisi inaitwa mahondaw kasema anamiliki au anataka tukose tu.
πππ tumuulize siri ya mafanikio yake aseee...Halafu huyu jamaa ana pisi ngapi humu, kuna ile pisi inaitwa mahondaw kasema anamiliki au anataka tukose tu.
Naona ndinga yako nyeusi imepaki sheliJua kali..View attachment 2028320
Bwana T 1990 ELY yupo pembeni hapo wanakwenda zao kujifungia wale mema ya miili yao... lijamaa linafaidi sana
[emoji23][emoji23] we jamaa mkorofi snBwana T 1990 ELY yupo pembeni hapo wanakwenda zao kujifungia wale mema ya miili yao... lijamaa linafaidi sana
πππ hatuna mivuto , ndugu yangu Satoh Hirosh bora hapa tumekula kibuti cha general ... tuendelee kupambana tuNehii nehiii!!! Mi wajeiefu tulishashindwanaga longiiiπππππππ!!π