Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
Najua mwamba ni fogo...tena mnene hasaHahaaa huyo msimchukulie poa aisee. Hapa kanajifanya kamtu ka kawaida tu ila yeye mwenyewe pamoja na watu anao hang out nao siyo level zetu.
Sema namuelewa huwa hapendi show off. Ila ukimkuta kwenye anga zake kuna mada akichangia unaona kabisa huyu yuko vizuri sema anawazuga tu humu.
Hapa ni kwa jina la selfika mkuu!!
Picha ziendeleeee!!sawa mkuu imeeleweka
Picha ziendeleeee!!
Nishaweka za kutosha peruzi tu utaonaTupia basi tuone uumbaji wa mola
Picha ziendeleeee!!
Nishaweka za kutosha peruzi tu utaona
Nishaweka mbona sema saivi nimevimbiwa yugaliTupia basi tuone uumbaji wa mola
Kwa niaba yanani??kwa niaba tupia moya tu
Nishaweka mbona sema saivi nimevimbiwa yugali
Juu yako??? Seriously???hahahaha moya tu ,weka juu yangu
Mtakatifu mwenzangu hilo jina limeniogopesha sana[emoji17]Jina nilibadiri ili liendane na mimi wa hovyo hovyo na ni sie na maana mkuu wangu, siku nikiwa na maana nitabadirisha tena
You welcomeThanks
Kwetu huku!
Mkuu hata usijali..hiyo bado ipo kiwandani.Aisee hii kitu kwenye maeneo yangu bado sijaiotea kabisa dah
Hahah! Basi itakua poa kwa sisi wanywaji moderate.Mkuu hata usijali..hiyo bado ipo kiwandani.
Hao ni wale wakemia wanaitwa watest waone inataste vipi,Ni kabla kinywaji hakijaingizwa mtaani.
Mchumba[emoji28]Mkuu hata usijali..hiyo bado ipo kiwandani.
Hao ni wale wakemia wanaitwa watest waone inataste vipi,Ni kabla kinywaji hakijaingizwa mtaani.
mimi ningeacha na ulimi unabembea kabisa, Huyo mdada walahi Hafai kwa matumizi ya "mke" ...π€£π€£π€£π€£π€£ Nilipitwa na hii πππππ
Chakorii umenikumbusha this girl tulifanyaga kazi flani hivi pamoja. Sasa boss wetu alikuwa boss kweli (awfully good looking, very well established, fashionable kinoma) ila mshkaji sana. Yani hana mbwembwe kabisa....sasa sijui this girl sijui alikuwa amezingua nini so boss akamuuliza au umemmiss sana babe wako mpaka kazi inakataa?? And she outright said "MI SINA BOYFRIEND!!!"
Baadae tukamuuliza duuude...mbona unasema uko single and you are not. Akatuchana eti kuna watu hata kama iweje hutakiwi kujidai eti ushachukuliwa. Akajazia we ukikutana na Diamond saa hizi unamuambia una mtu???
I was just like ππππ
mpambanaji mwenzangu tunasaritiana,Najua mwamba ni fogo...tena mnene hasa