Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Toka lini kijana asie na maana kama mimi mtu wa hovyo hovyo nikakaa na wazito ππ naona umeamua kunisariti mkuuAkiwa anaongea na Mimi anaijifanya mlala Hoi
Mkuu Kijana wa hovyo hovyo kumbe Hadi kunduchi Kwa Wanene wenzio Una nyumba
Vicoba tenaπ²π²?Unataka kunichuna,siyo kunipendaπ
Jina si umebadili Jana tuToka lini kijana asie na maana kama mimi mtu wa hovyo hovyo nikakaa na wazito ππ naona umeamua kunisariti mkuu
π€£π€£π€£π€£Kama hivo nimeahirisha sigeuki!π
Jina nilibadiri ili liendane na mimi wa hovyo hovyo na ni sie na maana mkuu wangu, siku nikiwa na maana nitabadirisha tenaJina si umebadili Jana tu
Kumbe sio zake hata ametudorishia bure tu!Hahaaa sasa mimi hunigaii kwa kupatia au ndiyo kwa vile offer ilikuwa ya mahondaw mi nimedandia tu [emoji16][emoji16]
Mie mzima kabisa mkuu wangu sijui wewe
Safi sana ni vizuri kuwa na nyumba nyingi unabadili tu mazingira
Kuchunwa tena jamani?Vicoba tena[emoji44][emoji44]?Unataka kunichuna,siyo kunipenda[emoji28]
Pesa ya mdosi kaa nayo mbali kama moto ππππ kibarua kinaota nyasi mda huo huo, nazidi kuwa wa hovyooo kabisaa.. toka lini kijana wa hovyo hovyo akawa na pesaaKumbe sio zake hata ametudorishia bure tu!
Kijana anataka kumiliki pisi kali halafu anaogopa kuchunwa[emoji3]
πππ
Ahaa hapa safi!!π€£π€£π€£π€£
Nakutania.
Aah tangu lini nikawa boss wako mimi [emoji3][emoji3]Unampaje pesa boss wako aseee ni uvunjifu wa protocal huo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Makazi mengi yana raha yake, unakuwa hauwezi kuwa unapakinai sehemu
Hahaaa huyo msimchukulie poa aisee. Hapa kanajifanya kamtu ka kawaida tu ila yeye mwenyewe pamoja na watu anao hang out nao siyo level zetu.Akiwa anaongea na Mimi anaijifanya mlala Hoi
Mkuu Kijana wa hovyo hovyo kumbe Hadi kunduchi Kwa Wanene wenzio Una nyumba
Ni zake hizo [emoji4][emoji4]Kumbe sio zake hata ametudorishia bure tu!
Unanikanaaa eeh boss πππAah tangu lini nikawa boss wako mimi [emoji3][emoji3]
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hapa ni kwa jina la selfika mkuu!!nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania