Eti jini mkata kamba1π π πTulibadilishana na majina.
Akaajiita Saint Jack,nikajiita Anne Palladino.,
Nikawa namwaga hadi mashairi mtoto wa watu kama mwanahiphop vile,
Nikamwandikia na maujumbe ya mahaba kwa mwandiko wangu mzuuri ..
Lakini wapi[emoji23],jini mkata kamba akapita.
[emoji38]Eti jini mkata kamba1[emoji28][emoji28][emoji28]
Jack Palladino ni wako tu mama mchungaji
Mpishi wa kili ana nafasi yake kabisa sijui sasa ni peponi au jehanamumkesha wa kusifu mpishi wa kilimanjaro beerView attachment 2025641
Mkuu nimeachwa[emoji2357]Mchumba wake mama mchungaji
[emoji2297]Tulibadilishana na majina.
Akaajiita Saint Jack,nikajiita Anne Palladino.,
Nikawa namwaga hadi mashairi mtoto wa watu kama mwanahiphop vile,
Nikamwandikia na maujumbe ya mahaba kwa mwandiko wangu mzuuri ..
Lakini wapi[emoji23],jini mkata kamba akapita.
Mwambie ukweli kama umeniacha
Mungu anakuona
Nadhani ni peponi maana kaonesha umahiri Sana na haidhuru binadamu Wala kuleta dhambiMpishi wa kili ana nafasi yake kabisa sijui sasa ni peponi au jehanamu
Oh vizuriNadhani ni peponi maana kaonesha umahiri Sana na haidhuru binadamu Wala kuleta dhambi
Haiwezekani aisee, mdogo wangu Saint Anne naomba uje falagha unieleze vizuri nini kimetokea tutafute namna ya kuweka sawa
Bro niliachwa.Haiwezekani aisee, mdogo wangu Saint Anne naomba uje falagha unieleze vizuri nini kimetokea tutafute namna ya kuweka sawa
Kuna maelezo yanamiss πHuu ung'ataji ni matumizi mabaya ya ofisi ya umma
[emoji2357]Bro niliachwa.
Michepuko ilikuwa mingi mno hadi akasahau tulikotoka.
Muone,unajishika kichwa cha nini[emoji38]
Kichwa kinauma najaribu kukumbuka kama niliwahi kuwa na mchepuko[emoji2357]Muone,unajishika kichwa cha nini[emoji38]
Umesahau kabisa yaani!Kichwa kinauma najaribu kukumbuka kama niliwahi kuwa na mchepuko[emoji2357]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app