Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mhh..nakuachaje mchumbaWewe si ndo umeniacha mchumba au??
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Mhh..nakuachaje mchumbaWewe si ndo umeniacha mchumba au??
Hivyohivyo.
Hee[emoji134]Aiseeee hujaona dogo???
Unafeli wapi??
Nakuja pm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2958][emoji2958][emoji854][emoji854]
Haaaa[emoji2297]Hivyohivyo.
Ukiwa huna wa Kuchat naye ndio unajidai kunitafuta mimi[emoji846]
Afu umezidisha michepuko[emoji1751]
Unashangaa nini?
Kwamba nimezidisha michepuko[emoji26]Unashangaa nini?
Ndiyooo
Naona mzee aliekwambia we maliza tu chuo unitafute 😂 akiwa katika ubora wake
Eeh hapa naelewa kwanini mzee wa muongozo alipigwa na kitu kizito😅Furahi dei![emoji8]View attachment 2024178
Kinyerezi moko safi😅Jua ni kali usiku mrefuView attachment 2024171
Tukuone 😂Kinyerezi moko safi😅
Mchumba gani umenisusa hivyo[emoji18][emoji17]
Mtoto kawivaNikiangalia skin tone yako hapa maabara ya ujasusi Unaonekana ni under 25..
Ila Una mguu wa bia,hongera[emoji39][emoji39]..Mr Extrovert anamiliki ua zuri sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Njoo dmTukuone 😂
Kibuti kinauma jamani[emoji24]Mchumba gani umenisusa hivyo[emoji18][emoji17]
Chief naona Unachamba koo kidogo
Yup mkuu!...hii kitu muhimu sanaChief naona Unachamba koo kidogo