geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
Hayo mazuri sana, ukipaka hata kwa nywele yanafanya zinakua na very nice texture.Bana we huko kwa Mr kucha si nikakutana na RS oil ' mazuri kwa massage.
Nahama olive.
My fidibaki?
Guu guu ng'wanawane. Ila Wanyaki bana dah! Mungu Aliwapendelea sana basi tu





Nikiangalia skin tone yako hapa maabara ya ujasusi Unaonekana ni under 25..

..Mr Extrovert anamiliki ua zuri snCute
Under what?? Aisee nakaribia 35 mkuu.Nikiangalia skin tone yako hapa maabara ya ujasusi Unaonekana ni under 25..
Ila Una mguu wa bia,hongera..Mr Extrovert anamiliki ua zuri sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hi saulimeti, hilo guu lisikutishe ni picha tu lipo kawaida na lina bonge la tege😀😀Guu guu ng'wanawane. Ila Wanyaki bana dah! Mungu Aliwapendelea sana basi tu![]()
Mnapenda kujikuzaUnder what?? Aisee nakaribia 35 mkuu.
Thank you lkn👍
Happy belated birthday raraa rerree hili jina😂😂🙌Tunashare mwez 1
Mm 22/11
Hbd to you
Si kujikuza ni ukweli mkuu😂Mnapenda kujikuza
Kwa mabaharia everything is expected







Aren't you hitting below the belt, sir?
Under 25. I could bet my life on it soulimetiUnder what?? Aisee nakaribia 35 mkuu.
Thank you lkn![]()



No si under ni over nakumbuka 25 yenyewe nimetimiza miaka 8 iliyopita ujue🤭Under 25. I could bet my life on it soulimeti![]()
Thanks FsHappy belated birthday raraa rerree hili jina😂😂🙌
So unique name na linachekesha, kuna kitabu cha primary tulisoma ni mfalme aling'atwa na siafu sijui ndiyo akalia hivo raraa😂Thanks Fs
Hili jina 😂😂😂
Siku najiunga hapa jf lilinijia tu na mm nikapachika
Shauri yenu ,mabadiliko ya umri yakiwanyemelea mtajisemea bora ningeukubali udogo wanguSi kujikuza ni ukweli mkuu😂