Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Ohooo shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23] mbona mimi sina taarifa za kuwa mchepus wa mtu.
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Ohooo shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23] mbona mimi sina taarifa za kuwa mchepus wa mtu.
Haaa yupi tena?[emoji2357]Na michepuko inauma mno[emoji24]
Unadate hadi na shemeji zako?
Yupo hapa nimekuja kumchukua yupo na ILANIMsalimie katibu muenezi wa ulevi.
Safi sanaYupo hapa nimekuja kumchukua yupo na ILANI
Mwwe nkamu ile picha naisubiri hadi leo.View attachment 2024442
Ni kula kujigaragaza[emoji39][emoji39]
Kumbe wapo wengi eeeh!![emoji1751]
Nice shoe...
Hilo muhimu kwa kada mtiifu Ila maisha ya bush ni Kama zile tulisoma zinaitwa ngano cjui tales Kama mambo ya kusadikika [emoji23]Safi sana
Asisahau lile lemba.
Tuhadithie kidogoHilo muhimu kwa kada mtiifu Ila maisha ya bush ni Kama zile tulisoma zinaitwa ngano cjui tales Kama mambo ya kusadikika [emoji23]
Vichekesho tu mtu kalewa kaanguka mbwa zinamramba usoni Hana habariii [emoji23][emoji23][emoji23]Tuhadithie kidogo
Wewe umenusurika kweli kwenye huo msala?Vichekesho tu mtu kalewa kaanguka mbwa zinamramba usoni Hana habariii [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwwe nkamu ile picha naisubiri hadi leo.
Mwee[emoji23][emoji23]Nkamu mimi nakusubiria ili mimi niendelee[emoji2]
Nooo sababu hakuna ndio mana nashangaa[emoji2369]Kumbe wapo wengi eeeh!![emoji1751]
Wacha weeh!Nooo sababu hakuna ndio mana nashangaa[emoji2369]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanazipenda Moka zao asee mzee kaipaka mafuta kabisa [emoji1787][emoji1787]Naona mzee aliekwambia we maliza tu chuo unitafute [emoji23] akiwa katika ubora wake
Nini
Asante mdogo wangu, heshima kwako pia, glad pia upo poaHeshima yako kaka mkubwa.
Mimi mzima.