Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Cheti chako kimetoka tayari uje uchukue ukajiongeze tblView attachment 1223796
Mtoto kipotable, easy to carry 😘😘Huku sigusi hata kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna tege moja matata Tena miguu Kama chelewa.
Naomba mkifika huku msihangaike kunitafuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo ndio za out mwenzio..Magunia yapi? Nguo zako nzuri tena zinakupendelea zinakupa na hips[emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji28][emoji28][emoji28] fumba macho unione
Haki ya Nani hapa msihangaike.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mtoto kipotable, easy to carry [emoji8][emoji8]
Wacha porojo [emoji28]
Ona tu jinsi lilivyopinda hapo juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nimecheka jamani.
Tege utoe wapi katoto kamiss miss
Sawa.Comment namba 178
Hizo ndio nzuri na utapata mume anayezipenda hizo hizo usijali.Hizo ndio za out mwenzio..
Hujaziona nyingine Sasa za kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magunia haya hapa...nikianza kupondwa Sasa...nawekaga pamba sikioni
Yaani Mimi..Nina matatizo Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashindwa kuendana na Kasi ya dunia
Ewaaa...Bora umenisapoti kuwa Ni nzuri.Hizo ndio nzuri na utapata mume anayezipenda hizo hizo usijali.
Na zinakupendezea wanaokuponda hawajui tuu.
Na pia wanaume wanazipenda sana hizo tofauti na hizi zetu.
Can't my friend and your friends dem be friends,We keep it 100%
We never pretend
Sawaa tulibona ntondo.Lalaga mola
Tugwiyangalucha ntondo
Usiwasikilize mdogo wangu.Ewaaa...Bora umenisapoti kuwa Ni nzuri.
SI wananionaga mbibi.
Mimi sayansi na teknolojia imeniacha mbali Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] +kukulia kijijini yaani mtu haniambii chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeap mama tena bado ninayoHii unaikumbuka vizuri
African kwiini.. [emoji126][emoji126][emoji126]Usitubanie pics bhana.Usiku mwemeni.
Picha yangu ya mwisho humuView attachment 1223793
Alie karibu na THE GREAT PARK akaribie .... 10+NView attachment 1223756
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashangaa ng'ombe 70 wanayeyuka juu juu.huku nilishaanza kujifunza kisukuma[emoji1751]
Tindilaga mola na umishe mola.Sawaa tulibona ntondo.