Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah Motorora imenikumbusha mbali
.
Ilianza Philips,ikaja seamens ya kidole gumba juu,,ikaja Motorola.

Enzi hizo vocha zilikuwa za makaratasi,zinabanduliwa,kama ticket za mwendokasi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nimekosa mfano ila ref. Beauty lies in the eyes of the beholder.

Kuna mwamba aliwahi kusema kuwa " nadhani huyo beholder ni mwanaume mwenye nyege"

Sababu yake ni kuwa Yaani, kuna kipindi nyege zikizidi kila mwanamke utamuona mzuri. Yaani hata kama hana uzuri wowote, utaanza tu kumtafutia uzuri wake wa kipekee.

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…