Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20211116_221306_7.jpg

The Informer
 
Nimemkumbuka Matron Lee [emoji4] kivazi kilikuwa kinamtoa karibia kuliko she wote pale.
Hangaya vazi halijamkaa [emoji23] kuna wanyabe vazi linawatoa mpaka unawatamani.
Palikuwa na mjuba mmoja akipiga ile OGiiii huchoki mwangalia.
Ukitaka uone hasara ya gwanda, vita ianze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unashuhudia rocket zinakula mipodo na mitundu, hutatamani kuvaa huyo kinyonga.
 
Back
Top Bottom