Selfika na JF: Snap it. Show it

Kimini hicho yaani linatia aibu.


Nimebadilisha simu yaani nimepoteza namba zote


Ndugu zanguni mwenye namba yangu naomba Unitext ili nipate namba na kusave.
Linatia aibu wakati unanunua hukuona? 😂😂 Langu mimi liko juu ya magoti, hatua mbili limefika mapajani 😩

Ndugu zako wamesikia... Next time u save kwa email.
 
Linatia aibu wakati unanunua hukuona?
Langu mimi liko juu ya magoti, hatua mbili limefika mapajani


Ndugu zako wamesikia... Next time u save kwa email.
Niliona kamening'inia nikakaangalia haraka haraka nikakachomoa.
Hata mimi nipo juu ya magoti.

Nimefika nalo nyumbani mama anauliza eti nimemnunulia mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…