Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe ukiwa Msela/Mseja (Bachelor) unaweza kutenga bajeti ya shilingi 60,000 ikatosha kula mwezi Mzima.

Next time jaribu kupiga hesabu za kujipikia nyumbani uone ipi inaweza kusaidia kufanya servings i.e Mamantilie au Kujipikia
Kujipikia ni gharama zaidi hasa chakula cha mtu mmoja ila mimi huwa nachanganya vyote nikiwa na muda huwa napika.
 
Kujipikia ni gharama zaidi hasa chakula cha mtu mmoja ila mimi huwa nachanganya vyote nikiwa na muda huwa napika.
That's very true, kuna serving kubwa inafanyika kwa kula Mamantilie than Kujipikia ingawa lazima uji limit kwenye bei.

Sio unakula Mamantilie ya shilingi 4,500 kwa msosi, manake ukila mchana na usiku unajikuta umeshatumia 10,000 sawa na shilingi 300,000 kwa mwezi. Ikifikia huko bora ujipikie tu magethoni.

All in all, wakati huu ndiyo wakati wa kujichanga na kuwekeza kabla hujaanza maisha ya ndoa ambayo yanakujaga na gharama zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…