Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38]
Usije ukajaribu kuingia na karatasi.
Huo ni uhujumu mitihani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Siku ukikaribu kuwaiga maexpert wa madesa aiseee utalia na kusaga meno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee ktk maisha yangu, xwez kuingia na karatas ktk chumba cha mtihan, yaan nkfka mlangon mwenyew natoa na kutupa.

Swez hicho kitu na sitokaa nifanye, natumia uwezo wangu binafsi, ila wapo makonk had michoro wanaingia nayo mweeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu maexpert huwa hawakamatwi.
Wenzangu na mimi sasa tunaojaribu [emoji38].

Najikuta narudi Uyole kulima viazi [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu maexpert huwa hawakamatwi.
Wenzangu na mimi sasa tunaojaribu [emoji38].

Najikuta narudi Uyole kulima viazi [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc usnchekeshe, nmekmbka o kevel kna mtu alkua anaingia na karatas yaan anakua free kabsa na hakamatwi,

Pepa la 4m 4 national, katembeza karatas mitihan yote [emoji23][emoji23][emoji23] katok na 1 ya 16,akaenda zake advance, now yko SUA, sjui km kaacha hii tabia,
 
[emoji1787]
Legendary huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…