Sio poa asee 🔥🔥kumbuka tangu baba mzee mugu anakufa/
alitusihi uaminifu ndio nguzo uliyoiangusha/
nashangaa bado nafsi yako haijasuta
natamani kukujali mdogo wangu/
sometimes nakwenda mbali natamani kukudhuru busara/ inaniweka huru
That last verse😂 looh huyu ni mbabe hasa.Usiku kaimba Songa, Dizasta ni mtu mwingine.
Anarap mastory ya kibabe 🤣🤣 hii inaitwa hatia 2 ya huyo Dizasta.
Wanasema mwanaharamu
Haijui laana 'kashalaanika
Nasikitika kuwa haujui
Kama naonekana ka'
Kondoo kwa mchungaji
Lakini...lakini kwa ndani
Mi ni chui mama
Kwa mfano nakuita mpenzi
Na tabasamu zuri wakati
Najua kuwa sikupendi
Kuitoa hii siri ndo siwezi
Kwahiyo nitakudanganya
Mpaka ifike siku niutimize
Ushenzi
Keep the good music alive 😴
Lenie 😂 pita kidogo.
Eeeeheee.....
Dada Warda una trakkkoo.
Wacha weeeh,usiniambieEeeeheee.....
UsiniambieDada Warda una trakkkoo.
vile hunioni kwenye makundi ya bar....Usiku kaimba Songa, Dizasta ni mtu mwingine.
Anarap mastory ya kibabehii inaitwa hatia 2 ya huyo Dizasta.
Wanasema mwanaharamu
Haijui laana 'kashalaanika
Nasikitika kuwa haujui
Kama naonekana ka'
Kondoo kwa mchungaji
Lakini...lakini kwa ndani
Mi ni chui mama
Kwa mfano nakuita mpenzi
Na tabasamu zuri wakati
Najua kuwa sikupendi
Kuitoa hii siri ndo siwezi
Kwahiyo nitakudanganya
Mpaka ifike siku niutimize
Ushenzi
Keep the good music alive
Leniepita kidogo.
Last verse ndio imefanya nikuite 🤣🤣That last verse😂 looh huyu ni mbabe hasa.
Sijawah sikiza nyimbo zake, nimemjulia humu JF hata sura yake siijui eti! Itabidi nimtafute nimskilize
That last verselooh huyu ni mbabe hasa.
Sijawah sikiza nyimbo zake, nimemjulia humu JF hata sura yake siijui eti! Itabidi nimtafute nimskilize
Break fast Zanzibar..vile hunioni kwenye makundi ya bar....
bahati nzuri hujawai skia nikizushiwa uzushi kitaa
nakununulia rubi kadhaaa unahisi nakujali
kumbe unampgia mbuzi gitaa
sometimes unanisongea nguna au wali
ukidhani mimi najali ilihali sijali na sina wazo la kukuonea hruma
aah
nashiriki na ww nyakati twitter mpaka instagram
picha unanitag drunken love
Hahaaa na nimeipenda sanaLast verse ndio imefanya nikuite 🤣🤣
Mtafute, ni mcute kimtindo.
Kikaoni imejaa madharau kwa yule husbae 😂😂eeeh twende
ulianza vp kumtamani wife??au ile siku namuoa
au kabla ya siku ya ndoa??
ndio maana siku ya harusi ilikua ishu ushirikiano kutoa
kama harusi ni pingu nang'oa sitaki tena.....
Depal ukitoka hapa nipe lyrics za kikaoni...ni kali kinyama
How I wish nikutumie Ila ndio vile KIBURI iko kwa flow 😎😂😂Hahaaa na nimeipenda sana
Mcute🤣🤣 weweee
Aisee Kuna dude linaitwa KANISA la dizasta vina ni kwikwivile hunioni kwenye makundi ya bar....
bahati nzuri hujawai skia nikizushiwa uzushi kitaa
nakununulia rubi kadhaaa unahisi nakujali
kumbe unampgia mbuzi gitaa
sometimes unanisongea nguna au wali
ukidhani mimi najali ilihali sijali na sina wazo la kukuonea hruma
aah
nashiriki na ww nyakati twitter mpaka instagram
picha unanitag drunken love
breakfast zanzibarBreak fast Zanzibar..
Me najua tunainza safari, kumbe unaniandalia maumivu makali
Nyie wanaume hamfai
Kuna dude linaitwa KANISA la dizasta pata wasaha ulisikilizeKikaoni imejaa madharau kwa yule husbae
Kikaoni imejaa madharau kwa yule husbae
sio poa....Aisee Kuna dude linaitwa KANISA la dizasta vina ni kwikwi