Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikiwa mkubwa nataka nyumbani kwangu kuwe kuzuri hivi mkuu
.

Sure, ukiyafanya haya..signs za uhenga hizo!
 
Ilipona 🤔 Glory to God.
 
The greatest rapper alive,, alikuwa bora sana alipoimba wimbo usio bora na hatia 1,2,3 na 4
Aah
Niambie ilianza vipi? Najua haikuanza ghafla..
Zipi dalili maana hata mafua uanza na chafya
Kivipi me kakako na ulishindwa kuniambia?
Ukafanya siri ina maana kimsingi nawe ulitaka

Hip-hop is the streets 😍😋
 
Wa kinondoni ndo hawatamjua dizasta,

Ameshuka dar anamtafuta mjomba
Huwa napenda kumuita the dizasta vina

Kinachonishangz ni ww kuwa familiar na such songs
😂😂😂 Mwanaume wa Kino yuko busy tiktok anadance challenge ya Love Nwantiti, saa ngapi atawajua rappers.


Kimsingi ni braza angu aliniambukiza miaka hiyo 😊 sija'cease bado naendelea nazo.

Bro alikuwa ni zile type za wahuni smart, mpk leo dictionary, some books home zimejaa machata yake 'soldier Kaveli 😀
 
Aah
Niambie ilianza vipi? Najua haikuanza ghafla..
Zipi dalili maana hata mafua uanza na chafya
Kivipi me kakako na ulishindwa kuniambia?
Ukafanya siri ina maana kimsingi nawe ulitaka

Hip-hop is the streets
kumbuka tangu baba mzee mugu anakufa/

alitusihi uaminifu ndio nguzo uliyoiangusha/

nashangaa bado nafsi yako haijasuta

natamani kukujali mdogo wangu/

sometimes nakwenda mbali natamani kukudhuru busara/ inaniweka huru
 
sio dizasta anaitwa SONGA
Usiku kaimba Songa, Dizasta ni mtu mwingine.

Anarap mastory ya kibabe 🤣🤣 hii inaitwa hatia 2 ya huyo Dizasta.

Wanasema mwanaharamu
Haijui laana 'kashalaanika
Nasikitika kuwa haujui
Kama naonekana ka'
Kondoo kwa mchungaji
Lakini...lakini kwa ndani
Mi ni chui mama

Kwa mfano nakuita mpenzi
Na tabasamu zuri wakati
Najua kuwa sikupendi
Kuitoa hii siri ndo siwezi
Kwahiyo nitakudanganya
Mpaka ifike siku niutimize
Ushenzi


Keep the good music alive 😴
Lenie 😂 pita kidogo.
 
Aah
Niambie ilianza vipi? Najua haikuanza ghafla..
Zipi dalili maana hata mafua uanza na chafya
Kivipi me kakako na ulishindwa kuniambia?
Ukafanya siri ina maana kimsingi nawe ulitaka

Hip-hop is the streets
eeeh twende


ulianza vp kumtamani wife??au ile siku namuoa

au kabla ya siku ya ndoa??


ndio maana siku ya harusi ilikua ishu ushirikiano kutoa


kama harusi ni pingu nang'oa sitaki tena.....


Depal ukitoka hapa nipe lyrics za kikaoni...ni kali kinyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…