Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,367
[emoji38][emoji38][emoji38]Unadhani makusudi basi; wengine sio photogenic. Upige picha 30, ndiyo upate moja nzuri ya kupost; basi tunajifanya picha sio hobby yetu. Wahitaji wengi wa wapi tena jamani?
Shusha hiyo shauku yako, ili usijekuwa disappointed sana[emoji53][emoji53]
Shape na nyongeza ya shepuSunday
The 5: 25-26 [emoji8][emoji8]View attachment 2001822
mhh!! Uno.Sunday
The 5: 25-26 í ½í¸í ½í¸View attachment 2001822
AmesukiaNimependa haircut yako mkuu.
unajua kubinua mguu vzr. Fujo za kitandani hizo
Hivi vitu Kuna mdogo wangu alikuwa akianza kucheza hata kula sio muhimu. Sasa hivi Kawa Engineer civil sijui Kama anapata time ya kucheza Tena.KISA UMEPITA NAE NDIYO TUSHINDWE KUMLA?View attachment 2002256
Daaaah. Ndomaana umetukimbia
Ewaaa! Weekend ziwe hivi bwana!Location.......View attachment 2002213
Lete picha acha siasa sis darling! Najua hupendi siasa...Ila hapa unaleta siasa[emoji1787][emoji1787]Unadhani makusudi basi; wengine sio photogenic. Upige picha 30, ndiyo upate moja nzuri ya kupost; basi tunajifanya picha sio hobby yetu. Wahitaji wengi wa wapi tena jamani?
Shusha hiyo shauku yako, ili usijekuwa disappointed sana[emoji53][emoji53]
Itakuwa alikuwa anacheza PS 2 hapo penyewe tulikuwa ofisi kwa mtu tunacheza na sisi ni watu wazimaHivi vitu Kuna mdogo wangu alikuwa akianza kucheza hata kula sio muhimu. Sasa hivi Kawa Engineer civil sijui Kama anapata time ya kucheza Tena.
Sunday
"Inueni vichwa vyenu enyi Malango ya Milele
Mfalme wa utukufu apate kuingia kwenu[emoji120][emoji120]"
#MalangoView attachment 2002077View attachment 2002079
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete picha acha siasa sis darling! Najua hupendi siasa...Ila hapa unaleta siasa[emoji1787][emoji1787]
Wengi tu wa hapa.
Cha kunidisappoint hakipo, bless my evening basi [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usingetia neno, ningehama JF
Usinambie!Hiii Ki Body naweza Kuhonga hata Bahari [emoji41]
Wavuvi tutasameheana [emoji1787]
Huwezi acha hii kitu hata uwe nani. Ni addiction flan hiviHivi vitu Kuna mdogo wangu alikuwa akianza kucheza hata kula sio muhimu. Sasa hivi Kawa Engineer civil sijui Kama anapata time ya kucheza Tena.
Halafu wewe.....Sunday
The 5: 25-26 😘😘View attachment 2001822